maelfu wamiminika DUCE.

mimi sihitaji kufuga chochote nataka kukufuga wewe, mke wako na dada zako..nataka nimlime binti yako na shangazi zako..

Siku nyengine usimfundishe samaki kuogelea..waulize Ilovo wanatutambua.muulize Mo anatutambua.
kwa akili hii nimeona why hauwezi kujiajili sasa hao ilovo na Mo ni nani? na wanawatambua wewe na nani?
 

huu ushauri wako ukaufanyie kazi wewe unaeishi kama mtumwa,utakusaidia sana na vizazi vyako..unapangiwa kulala mpaka kujisaidia uende wapi na ukuruta wako..wewe kama ni kichwa na mtoa ushauri mzuri njoo tuijenge nchi uku sio unakalisha kende tu hapo alafu unawaambia madogo wauze laptop wakalime..waambie mitaji wataipata wapi,sio story za uzeni simu zenu na laptop zenu sasa laki tatu si nauli tu ya kukufikisha shamba.
 
Wewe huna tofauti na mwana wa mfalme aliyemuuliza babake ni kwanini watu wanaandamana kwa ajili ya njaa, kama hawana mikate kwanini wasile keki? Sasa hapo utajiuliza watu walioshindwa kupata mikate watawezaje kupata keki?

Hiyo mitaji midogo inayotosha kuanzisha enterprises Tanzania ni shilingi ngapi na inapatikanaje? Mfikirie mtoto wa mkulima kutoka kule Katavi ambaye maisha yake yalikuwa yanategemea bumu, ambalo alikuwa akipata analigawa kumlipia ada na mdogo wake huo mtaji mdogo anautoa wapi? Au serikali ya Tanzania inakopesha hiyo mitaji midogo midogo?

Be serious mkuu, tumetokea kwenye maisha anayoyasimulia huyu mleta thread na tunajua shida na mateso tuliyoyapata. Sitasahau nilivyohangaika kutafuta ajira baada ya kumaliza chuo kikuu, kiasi cha kufikia kufanya kazi ya umachinga, bila mshahara. Faida yangu inapatikana kwa kufanikiwa kuuza kitu kwa bei kubwa kuliko ile ya tajiri. Nikikumbuka huwa naumia sana, na hapo bado kuna mdogo wako anakudai ada huko kijijini.

Nyie haya mambo waambieni ambao hawana experience nayo. Kama ingekuwa mitaji ipo na biashara za kufanya zipo kwa hakika hakuna mtu angependa akawe mtumwa wa mtu mwignine. Watu wengi sana wanapenda kujiajiri kuliko kuajiriwa. Lakini shida ni hiyo mitaji! Na kwa mtu aliyemaliza chuo kikuu hawezi kuanza na mtaji wa elfu hamsini, inabidi angalau kiwe ni kitu kinachoeleweka kidogo.

Tunapoongelea tatizo la ajira nchini ni vema tukalichukua kama ni serious problem inayohitaji serious attention. Na si blabla tu.
 
kwa akili hii nimeona why hauwezi kujiajili sasa hao ilovo na Mo ni nani? na wanawatambua wewe na nani?

ndio maana nakwambia wewe ni kichwa upande arifu!
Acheni madogo wapate kazi wapate mitaji msiwadanganye wakati nyie mpo maofisini..kama kuwaelekeza waambieni jinsi ya kutumia kipato ata kama kidogo watachopata kazini kusave na kufanya ujasiliamari kama kilimo..kilimo kina mambo mengi sio kukodisha shmba na mbegu tu kuna risk ambazo zikitokea kama mtu hana misingi mizuri anaweza akaanguka kabisa na ikawa ngumu kuinuka.
Achana na hadithi za vitabu vya ujasiliamali njoo uku field tujenge nchi..ukishakomaa nitakutafuta nikupe mchongo wa kukutoa kimaisha na utaijua vizuri Ilovo ukishakuwa outgrower niliyekupika ukapikika.
 
Suala zima hapa na kuipindua CCM. Kama tumeipa miaka 51 itawale nchi bila mafanikio kwanini tusiwape Chadema au mimi Mkereketwa nitawale? Katika utawala wangu nitafanya chini juu kufufua viwanda vyetu, kujenga barabara maridadi nchi nzima, yaani miundo mbinu naipa kipaumbele. Gesi ya Mtwara narudisha huko huko ili wakazi wa kule nao wapate ajira. Nitawafunga maraisi wote pamoja na viongozi toka awamu ya pili mpaka hivi sasa kama wakibainika waliiba mali za nchi. Nita appoint viongozi waadilifu katika kila idara na wajumbe wa TAKUKURU wote nawanyonga kwani bila kuwachunguza najuwa hakuna hata mmoja alie safi, wote ni majambazi wa nchi. Baada ya mwaka katika utawala wangu nitawaomba watanzania wapige kura za maoni kama wameridhishwa na utawala wangu. Wakisema hawajaridhishwa naachia ngazi, kama wameridhishwa nitaendelea kwa hiyo miaka 4 iliyobakia.
 

hawa watu wakishasoma vijitabu vyao vya ujasiliamali baada ya kukosa kazi ya kufanya uko maofisini..ndio wanakuja kupost umu vijana hawataki kujiajiri..ukimuuliza mtaji watatoa wapi anakwambia auze simu yake akawe mchuuzi azungushe soksi za mtaji wa sh elfu ishirini...kweli mnataka wasomi wetu wawe wachuuzi??sasa cha kuchekesha hao wanaopiga kelele ni waajiriwa wa maofisini watumwa wa payroll..biashara kajifunzia rich dad poor dad, think big au kwa tapeli James wa foreva living.
Madogo sio siri wanaangaika yani atakusaidia huwezi sababu wapo wengi sana na wanatoka familia maskini ambazo wanaanza kutegemewa mara tu wakiingia chuo kikuu..mtu kamaliza ana ata senti za kutuma application alafu unamwambia aache ujinga akalime mang'ula kakwambia kapenda kukosa senti mfukoni za kujianzisha..!!acheni kujisahau tutafute suluhisho la wadogo zetu maana watoto wa ndugu zako wakikosa direction ni mzigo wako wewe.
 
we unajichanganya kumbe ulifanya umachinga halafu unataka wenzako wasifanye vitu kama hivyo! ulianza na mtaji kiasi gani ambao wenzako hawawezi kupata? hivi ipi ni bora kukaa kusubiria kazi ambayo inaweza isije kamwe au kuanza kuchukua hatua mdogomdogo kama we ulivyoanza na uchinga?.
 
huyo unaemwambia nae kafanya umachinga. ukweli ni kwamba serikalini hakuna ajira. kwa hiyo tunafanyaje? kwa vile tumesoma basi tuendelee kuvaa tai na kusubiri zikitoka mbili tatu tugombanie? au tuvae buti ili kuanza maisha. mtu atafika miaka 30 hana kazi wala uzoefu wa kazi we unafikiri mtu akitaka kuajiri si atamchukua fresh from school. huyo mngine ajira atakuwa anaisikia kwa wengine.badala ya kuwapa wenzenu mawazo mbadala nyie mnawaambia yale wanayotaka kusikia tu.
 

mmesha ambiwa huto tuvijitabu mnatosoma maoisini eti ujasiliamali runawapoteza kabisa,. Subiri vidogo vyako na vitoto vyako visome afu vipeleke uko kijijini vikalime au viende karume vikauze singerendi,brauzia,tights na sox.
 

Usomi peke yake bila mitaji utaendeshaje enterprises? Lazima kuwa na strategy ya kuwawezesha wahitimu ili kuweza kujiajiri.Umeshawahi kuona mitaala yenyewe ya elimu yetu ikoje? Inamwaandaaje muhitimu kuendesha private enterprises? Tumeshafikia mwisho wa kufikiri lazima tutafute namna mpya ya kufikiri.Siyo hii tuliyonayo sasa
 
mmesha ambiwa huto tuvijitabu mnatosoma maoisini eti ujasiliamali runawapoteza kabisa,. Subiri vidogo vyako na vitoto vyako visome afu vipeleke uko kijijini vikalime au viende karume vikauze singerendi,brauzia,tights na sox.
kwa hiyo we wanao utawaambia wakae nyumbani wasubiri ajira! hiyo serikali itakuwa inaajiri tu haishiwi pesa wala nafasi hazijai? mambo ya kila anaemaliza chuo anapata kazi serikalini yanapita muda wake na tumeshafika turning point lazima tutafute njia mbadala lasivyo we are doomed!
 

We endelea kutukana tu dada yangu,najua ukweli ni mchungu sana,lakini lazima usemwe tu,nakukumbuka sana wewe kama mmoja ya watu mliokuwa mnalalamika juu ya nafasi za jeshi,leo hii unalalamika tena.Lazima utatubu tu binti,una cheti cha diploma au shahada moja,unakuja hapa unavimba eti wewe ni msomi,upewe ajira,umri unakwenda sana,utakuja kukosa hata mume kwa kuhangaika muda mwingi unatafuta ajira,acha kiburi bibie.
 
mimi sihitaji kufuga chochote nataka kukufuga wewe, mke wako na dada zako..nataka nimlime binti yako na shangazi zako..

Siku nyengine usimfundishe samaki kuogelea..waulize Ilovo wanatutambua.muulize Mo anatutambua.
haya hawa ndo wasomi wetu wakileo
huyu ata akiajiriwa atakuwa janga kwa taifa
 

Professional wameitwa jwtz mwezi novemba tena kuna kijana wa jirani tu hapa kaenda huko kwa kutoa laki nne,unacheza na nchi ikiwa kwenye AUTO-PILOT wewe,labda kama ulimaanisha kusitisha KUTANGAZWA kwa ajira za pro. Lakini kama ni kuajiri wanaendelea kuajiri mkuu
 
utauza wapi pamoja na hiyo small enterprises yako coz wachina na baadhi ya wageni wanaojiita wawekezaji wamechukua hiyoo nafasi mfano wachina wanatengeneza yebo yebo tena chumbani anakolala na wakati huo ana fremu kariakoo na anauza bei annayjipangia yeye mwenyewe coz hajalipa kodi, mgambo wa jiji hawamsumbui.... ili kuepuka hili la kila siku bunge litengeneze sheria rafiki za uwekezaji kwa watanzania na sio kukumbatia wageni?
 

ndio maana nakwambia wewe ujui chochote kuhusu jeshi..nani kakwambia hakuna ajira jwtz na kwa taharifa yako nishamuweka mtu hapo..wewe ni kuruta utayajua wapi yote ayo..ningekuwa nna mahaba na jeshi nikiingia ningeanzia na cheo kikubwa sana,sababu ata dogo akifanikiwa kumaliza mafunzo kwa degree yake anaanza na cheo luteni..ningekutafuta wewe kuruta na ningekupata ungekuwa shoe shiner wangu.
 
haya hawa ndo wasomi wetu wakileo
huyu ata akiajiriwa atakuwa janga kwa taifa

usihofu kuhusu mimi,nimeshalitumikia taifa vya kutosha..hivi sasa tunasaidia kujenga uchumi kwa vitendo,nchi hii watu tukibweteka kwenye vipupwe na kusahau uzalishaji..hatutofika popote.
 
Rafiki yangu hujanielewa. Sijasema nilikuwa na mtaji wa umachinga. Bali niliajiliwa na huyu tajiri aliyekuwa na duka, ananipa bidhaa zake nikauze, ananipangia bei, kwahiyo mimi ili nipate faida natakiwa niwashawishi watu wanunue kwa bei ya juu kuliko ya tajiri. Hii biashara niliifanya kwa siku zisizosidi tano, hela niliyokuwa napata ilikuwa inatosha nauli tu, hata chakula cha mchana wakati mwingine sipati. Ndiyo maana nayaponda maisha ya aina hii. Tunapojadili suala la ajira kwa vijana wetu tulijadili kama tatizo la kitaifa na si kwa ushabiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…