Maelezo ya polisi Morogoro sijayaelewa

tusiojua mechanism ya risasi tutie gundi midomo yetu.....maana nikiulizwa nieleze risasi iliyofyatuliwa juu baadae ikarudi chini inanguvu gani......SIWEZI
 


Inaweza / haiwezi, kama vile risasi unayolengwa nayo, inaweza ikakuuwa na inaweza isikuuwe.

Soma zaidi: Can falling bullets kill you?
 
Sijakuelewa mkuu hebu rudia tena
 
Mijitu kama hii ijumaa au jpili inaenda kuswali /kusali afu linaongea uongo hata mtoto mdogo haamin MWENYEZI MUNGU atawahukumu kwa maovu mnayotenda
Na jumamosi pia ni siku ya kwenda kusali
 
Unamaana unakubaliana na walichotenda police kumbuka hao waliouawa ni binadamu nakama unakumbukumbu nzuri hata mkuu wa nnchi alisha lalamika kua POLISI WANATUMIKA VIBAYA sasa sijui unatetea nn hapo
 
Hao raia wataochoka mtaani Ni raia wa nchi gani unawazungumzia? Kwani Mara ngapi matukio Kama haya yanatokea!?? Na hao raia walishachukua hatua gani? Watanzania walio wengi Ni Kama Mwanamke Malaya Tu! "Unaweza kumpa ahadi tamu tamu mchana Na jioni ukaenda kumgonga bureee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…