Maelezo ya ku- root Android phones

kaka samahani nahitaji kudownlod video youtube na audio kwenye simu ya ideos 8150 nitatumia program gani niweze kupata hudduma? ambayo itakua direct ku download sio mpaka ucopy url? na unaweza kuroot simu marangapi? na haina madhara?nihayo2 mkuu, naomba msaada wako
 
Wadau naomba msaada wa kubadili fonts kwenye ideos u8150 au kama au kama kuna app ya kufanya hvyo!
 
Wadau naomba mnisaidie nahitaji kudownload video na music kutoka youtube na web nyingine kweny huwawei ideos 8150 nitumie njia gani nisaidien pliz
 
Wadau naomba mnisaidie nahitaji kudownload video na music kutoka youtube na web nyingine kweny huwawei ideos 8150 nitumie njia gani nisaidien pliz

ku download music sio kazi sana mkuu just nenda site za miziki na udownload but ku download video youtube kuna njia zilisha tolewa humu just search utapata
 
ku download music sio kazi sana mkuu just nenda site za miziki na udownload but ku download video youtube kuna njia zilisha tolewa humu just search utapata

me nmetafuta sana hixo thread humu za kudownload you tube videos kwenye android na sijazipata......msaada tafadhali
 
me nmetafuta sana hixo thread humu za kudownload you tube videos kwenye android na sijazipata......msaada tafadhali

okay! ukitaka ku download kwanza fungua video uitakayo kisha kene adress bar edit url mfano kene video uliyo click ina adress kama hii
m.youtube.com/gasfjnbga sasa ondoa hiyo m. na iwe hivi ssyoutube.com/gasjnbga kisha go tu adress itakuja page ambayo utachagua format ya video kisha itaanza ku downloa
 
poa mkuu thx....nko porini nkikaa sehemu nzuri ntajaribu then ntaleta majibu
 
Kaka inakubali ila ikianza tu kudownload inaenda kidogo then inaleta msg untitled download unsuccessful nifanyeje mkuu?
 
Kaka inakubali ila ikianza tu kudownload inaenda kidogo then inaleta msg untitled download unsuccessful nifanyeje mkuu?

nakushauri utumie opera ama UC browser utafanikiwa
 
Wadau naomba mnisaidie nahitaji kudownload video na music kutoka youtube na web nyingine kweny huwawei ideos 8150 nitumie njia gani nisaidien pliz

kwa miziki ya mp3 dowload hi sofware simple mp3 downloader utakua unaandika jina la msani au jina la wimbo unakuwa unaweza sikiliza au kudownload
 
imefaa boss. ...napakua video poa tu now. thx n salute
 
wote mnao tumia Galaxy Ace fuateni maelekezo niliyo yatoa hapo juu, nimetoka ku test na Samsung Galaxy Ace ya jamaa yangu imekubali bila shida,

Mkuu, natakau ku set S3 Yangu.
Nataka niki tuma post JF nipate kuona ki notification "Sent from my ......" at the end of the message
Do you have any idea?
 
heshima kwako mkuu..
mimi naitaji ku-root simu yangu naitaji maelekezo natumia samsung galaxy note 1.natanguliza shukrani kwako.
 
Wadau naomba mnisaidie nahitaji kudownload video na music kutoka youtube na web nyingine kweny huwawei ideos 8150 nitumie njia gani nisaidien pliz

Nenda play store such app inaitwa onebrowser downl,utakuta kuna sehemu imeandkwa tubidy ingia then tafta utakacho
 
mkuu me natumia Tecno T1 android 2.32 gingerbread nawezaje kuroot simu yangu? pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…