Maelezo muhimu kuhusu majini!

Kumbe kasema yeye, basi ma mimi ntasema.SI KUSEMA TU.
 
Ila wewe hepatitis B[emoji23][emoji28][emoji38], haya bhana, sasa nimeelewa kwani umejiita hilo jina.[emoji3][emoji16], Nimejikuta nacheka kijinga sana, yaani jibu lako hadi Raha.
Maandishi ya kutungwa tu yamekufurahisha na wala sio kichekesho sana si bure wewe kuna shida unayo inahitaji tiba ya psychology

Rakims
 
Habari mkuu Rakims , mi ni Moja ya watu wachache waliofaidika na elimu zako unazozitoa alhamudillah mungu akulipe nilikuwa nauliza

1. Kwa Nini majini yakitaka kupanda lazima wavalishwe vitambaa cheupe kijani bluu e.t.c? Zile rangi huwaga zina maana gani?

2.je, ni halali au haramu mtu kupandisha jini au kushirikiana nae? mfano kwa wema sio kwa ubaya?

Sifa zote anastahili muumba mbingu na ardhi na ama kwa hakika kwake tutarejea...! Nawasilisha
 
...MTU umetumia nguvu kubwa kuandika thread ili ielimishe watu bure,_halafu MTU anakuja from nowhere anaandika simple tu 'Yesu ndio kila kitu'...pathetic
Kwani ni uongo? Umejaa hasira sana ila huo ndio ukweli wenyewe. Yeye ndiye kila kitu.
 
Nakazia hapa...!!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…