samahani nlikua naulizia nimeona sehem wanauza Android 3G tablet phone na nlikua naulizia kama kuna mtu anaweza kunihabarisha ndo inakuaje mana natamani kununua na bei ni 180.Ntashkuru mkinijulisha ndo znakuaje
achana nayo itakusumbua kuwa mvumilivu tablet za bei rahisi zinakuja nyingi. kwenye maonyesho ya computer nyingi zimeoneshwa. kuna za acer, huawei na samsung
So kaka kama nahtaj smartphone ya bei nzuri na yenye kukubali apps nyng kama whatsapp,skype,instagram na nyngnezo,wanshauri ipi??
achana nayo itakusumbua kuwa mvumilivu tablet za bei rahisi zinakuja nyingi. kwenye maonyesho ya computer nyingi zimeoneshwa. kuna za acer, huawei na samsung
maonyesho hayo yanafanyika lini na wapi?achana nayo itakusumbua kuwa mvumilivu tablet za bei rahisi zinakuja nyingi. kwenye maonyesho ya computer nyingi zimeoneshwa. kuna za acer, huawei na samsung
maonyesho hayo yanafanyika lini na wapi?
So kaka kama nahtaj smartphone ya bei nzuri na yenye kukubali apps nyng kama whatsapp,skype,instagram na nyngnezo,wanshauri ipi??