Napataje faida Mimi kumiliki App let us say App ya Kibiashara yenye mfanano na Jumia au hata Kupatana? Je, naweza kuwa na Website Kama ya Zoom na nikapata Faida? Gharama za kuimiliki na uendeshaji? (I'm a layman in this and I need help)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app