Wakolomije hata uwape maelekezo gani hawawezi kubadilika.
Muda si mrefu hapa kibaruani kwangu nimetembelewa na wateja wako watatu, katika kuongea wakaniambia wanatokea COMPUTER KOLOMIJE SACCOS, si nikaanza kucheka, wakaniuliza mbona umecheka?Hahaha wakolomije sugu