Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 474
- 622
Habari zenu wakuu,naulizia sehemu ipi Dodoma naweza kupata nguo za mtumba nzuri kama ilivyo kwa Daresalaam maeneo ya Ilala sokoni,
Nikimaanisha sehemu ambayo watu wanafungua marobota ya nguo na kuuza kwa mojamoja au kwa jumla.Kama itapendeza mnipe na muda sahihi wa kwenda pale.Kwa Dar nilikuwa nikienda asubuhi kama saa 12:30 hv.
Natanguliza shukrani🙏🙏