Maekezo haya yanaondoa maana ya bima

Maekezo haya yanaondoa maana ya bima

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,884
Reaction score
1,466
Kuna mtu mwingine anaumwa mara kwa mara, na wengine hata mwaka mzima hawatumii bima zao.
Dhana ya BIMA ni kwamba fedha inayotozwa iwahudumie wachangiaji wanaougua wakati wote wanapokuwa wagonjwa.
Kama shirika linaelekea kuwashinda binafsisheni au uanachama usiwe wa lazima na sio kutumia hoja za kumpangia mtu augue mara ngapi.
Please make it before you fail, it's great shame.
FB_IMG_1563369127179.jpg
 
Kama hawawezi kutoa huduma za bima kwanini wasiwaachie wagonjwa wenyewe watibiwe kwa namna wanayoijua kuliko kuwapora fedha zao kwa kisingizio cha kuwapa huduma halafu baadaye wanawapangia masherti, ni mara kumi wangesema anayeugua mara kwa mara ajitoe kwenye mfuko wa bima
 
Bila shaka ni NHIF.

Na wategemezi ambao wapo above 18 wamesitishiwa bima zao toka hiyo 1st July 2019.
 
Wamekanusha nimekupa ushahidi ufunge huu uzi

Back
Top Bottom