Aibu nyingine ni za kujitakia, kwani angeomba kuandikiwa hiyo cv kungekuwa na tatizo gani? Ili hayo matatizo mengine aje apambane nayo katika usaili wa ana kwa ana?
Kama huyo ni wa chuo kikuu (muhitimu) hali ikoje form 2,4,6? tanzania viongozi wamrudie mungu.
unajua ukitaka kukosoa na wewe uwe smart, sasa angalia title ya post yako, hapo nilipo bold ulimaanisha nini?
anyways its "slip of pen" bana
afterall huyo mtu kasoma accounting and finance, hajasoma english
kumbuka pia hiyo ni third laguage kwake, so nothing wrong
bora huyo aliyekosea grammer kuliko wewe unayetoa mambo ya ofisi nje! hivi maadili ya kazi siku hizi mbona ni hovyo sana? hauna tofauti na yule anayetoa siri za ndani (unasema mambo ya mpz wako hadharani)
kweli wewe ulipewa nafasi kwa bahati mbaya
hivyo ndo vyuo vyetu, tunaangalia wengi wa vyuo badala ya miundombinu ya vyuo vilivyopo na taaluma inayotolewa. sasa huyo ni Mzumbe mkongwe je wale wa majuzi je?
unajua ukitaka kukosoa na wewe uwe smart, sasa angalia title ya post yako, hapo nilipo bold ulimaanisha nini?
anyways its "slip of pen" bana
afterall huyo mtu kasoma accounting and finance, hajasoma english
kumbuka pia hiyo ni third laguage kwake, so nothing wrong
Mzumbe ni chuo cha tarafa.Bado hujaona ya kile chuo cha kata DODOMA ambacho ukiingia getini tu unakutana na mnara wa CCM.Unategemea wahitimu wake watakua na tofauti na ccm??.Hili ni janga tunahitaji kulijadili kwa upana wake
Kumbe Maprof. wanafundisha English vyuoni!!
Embu tuache hizo kasumba za ajabu na ndomaana atufanikiwi kwa kukazania kingereza tuu. Na huyo haliyetoa habari za ofisini kwake sijui kama anajua maadili ya kazi yake.
Aise we jamaa huna kifua una tabia ya umbea pia unajifanya elimu bora sana we itakua chuo ulikua unasoma language mwenzio kasoma accounts ivi unajua kuna wachina wenye elimu kubwa na hawajui kingereza