Madudu ya vigogo serikalini hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madudu ya vigogo serikalini hadharani

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by sulphadoxine, Jun 16, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Viongozi wa wizara wadaiwa kupora mradi.
  Brela yatuhumiwa kuwabeba,kuwalinda.

  Serikali ya rais kikwete,kupitia,wizara ya viwanda na biashara imeingia katika mvutano wa kibiashara ambao unahusisha taasisi ya nchini ubelgiji inayoidhinisha kutumia mifumo ya biashara ya utambuzi wa bidhaa za kimataifa GSI,kwa kutumia nembo ya za mistari inayojulikana kama 'bar codes'Tukio hili ambalo linaweza kuchafua taswira ya serikali ya tanzania limeibuliwa na mtanzania mjasiriamali Ole Koimere anayeinyoshea kidole serikali ya rais kikwete hususani katibu mkuu wa wizara ya viwanda na biasharaJoyce Mapunjo kwa kile alichodai njama za kumpora mradi wake wa kutaka kuanzisha huduma ya kutoa 'bar codes'hapa nchini ambayo kwa sasa aipatikani hadi nchi jirani.
   
Loading...