Madudu ya tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madudu ya tanesco

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Dec 31, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha kusikia eti 26% ya umeme unaozalishwa na tanesco unapotea,hao maofisa wao wanapata unit 750 kila mwezi,nguzo ambazo wanatuunganisha umeme wanatuuzia kumbe kiutaratibu iliwapasa kutoa bure kama sehemu ya huduma yao na mbaya zaidi hawataki kuwa wabunifu zaidi ya kung`ang`ania kupandisha bei,ubunifu wao upo wapi?
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi binafsi mpaka leo wananiwekea zengwe kny nguzo ila service line nshalipia?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna maporomoko nayafuatilia niweze wazalishia umeme watu wa uko angalau tuondokane na ukiritimba wa TANESCO
   
 4. c

  chach JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  :whoo:Hivi TANESCO wanapataje hasara? nguzo tunanunua, nyaya tunanunua service charge tunalipa,hata shimo la kuweka nguzo uliyonunua unachimba,mita ya luku unanunua.Wao kukusany pesa tu wanaingia hasara?
   
 5. Miss X

  Miss X Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Yaani jamani ni kituko cha mwaka, Bado kodi unalipa, yaani ni sawa mwanao anayesoma akuambie kuwa kapata hasara, wakati hakuna anachojihudumia mwenyewe.
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni udhibiti wa hela,ubunifu,matumizi yasiyo ya msingi.wanazalisha vishoka kwa kufukuza wafanyakazi kiholela.?
   
 7. u

  urasa JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  licha ya kukusanya pesa kama kodi bado shirika linapata mgao wa bajeti ya serikali na bado linapata hasara
   
 8. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  TANESCO and TZ Gov! are unfit for purpose! Kanunueni panels nchi nzima muweke Solar power! Yes ita cost at the beginning lakini trust me una avoid this bambo jambo business!!
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu we acha tu, ungesikiliza kipindi cha kipima joto jana ungelia. mimi nilitaka kupinga TV ngumi kwa hasira kwa yule bwana Anastaz Mbawala, mkurugenzi mtendaji, EWURE-electricity.
  Eti 2005, tanesco walizalisha 60% ya umeme na mashirika binafsi (IPTL etc) 40% lakini mapato tanesco walipata 16% na hayo mashirika 84%
  2006 ndo ilikuwa maliza kazi (nadhani richimond ndani ya nyumba), mashirika binafsi yalilipwa 104% kwa hiyo tanesco ilibidi ikakope hiyo 4% ili ilipe. Jamaa alipotaka (Mr. Mlaki) alipotaka kuendelea Chuwa wa ITV akamkatisha. Najuuuta kuangalia kile kipindi.
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wanachokusanya wanalipa kwa makampuni ya mafisadi yanayowauzia umeme. Serikali ya kifisadi ndiyo iliyosaini mikataba na mafisadi wenzake, Richmond, Dowans, IPTl, Songas, etc.
   
 11. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  MR Urassa, there is no country in the world and I repeat NO country that has no electricity losses, the only fact that we could argue here is % of losses, Uganda has 34% Kenya 25% TANESCO 24% these are both technical and non technical loses, log into www.eskom.co.za so u can check RSA losses, thanks Eng Nsiande
   
 12. k

  kipimo JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sababu kubwa ni mikataba iliyofichika (ya siri), hivyo yawezekana kuna mengi ambayo hayako bayana ambapo pesa wanayoikusanya wanaipeleka, achilia mbali ya ewura ambayo ndo iko wazi. kwa mtu wa kawaida ni kweli haiingii akilini kabisa
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Globalization at work,

  Privatize every SU, give them to big corporations (profit making)

  Then service only rich, endeleeni kuimba wimbo wa tanesco mbovu
   
 14. u

  urasa JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni wakati wa kutoa elimu kwa umma juu ya njia mbadala ya nishati
   
 15. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  U r right bro eng Nsiande
   
Loading...