Libero linatokana na neno la kiitaliano likimaanisha sweeper au mtu huru ni mfumo penye soka yule mtu wa mwisho anakuwa hakabi mtu.Kama pana masahihisho tusahihishane.Mkuu msaada hapo libelo anamaanisha nini kama unafahamu.
Unaweza kujiuliza mara mbili hizi elimu ya humu bwana na kama anaifahamu vyema hadhira yake. Uandishi huu ni aibu kwa Shirikisho la Soka Tanzania.
Sasa kwanini mnamuumbua hivi mwenzenu, au na wewe ulipambana naye kwenye usaili wa nafasi hiyo?
Libero linatokana na neno la kiitaliano likimaanisha sweeper au mtu huru ni mfumo penye soka yule mtu wa mwisho anakuwa hakabi mtu.Kama pana masahihisho tusahihishane.
Kwaio kwa upande wako alvopost hakna kosa?acheni majungu, huyo mtu ni Alfred Lucasi Mhandishi wa habari nguli wa Mwanahalisi, miongoni mwa waanzirishi wagazeti ilo, mpaka anaenda TFF, alikuwa jamhuri gazeti ambalo limeonekana kukimbizana na mwanahalsi, hiii ni inshara tosha kuw huyu jamaa yupo vizuri sana maana kasi yake akiwa mwanahalisi tuliendeleea kuiona akiwa jamhuri, sasa yupo TFF, pia ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Tumaini DSM, kwa sasa, ila yupo kwenye gemu siku nyingi sana zaidi ya miaka 20,nadhani mtoa uzi ni miongon mwa waliopata kuchambuliwa na mtu huyo akiwa km mwandishi makini.
tumeelewa alichosema, jf sio pahala pa kukoselea bhana hivi mtoa uzi, umeona ametoa uzi kwa lengo la kukosoa au kumuaibisha hacheni hizo nyinyi wenyewe mbona mnakosea sanaKwaio kwa upande wako alvopost hakna kosa?
Lakini mdau kaulizia LIBELO.......
Kiswahili ni Libelo, kiingereza Libero
Hakukuwa na usaili katika hiyo nafasi. Ni mteule ndio maana tunaleta kwa wadau tuzungumze ni sahihi nafasi za namna hii mtu kuteuliwa badala ya kucompete?