Madudu LearnIT-Aptitude test

Madudu LearnIT-Aptitude test

newbie

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
216
Reaction score
48
Leo kuna watu tuliitwa pale LearnIT kufanya aptitude test kwa nafasi za kazi za Sales zilizotangazwa. Cha ajabu tukiwa pale mapokezi kuna mtu mmoja akatoka ofisini ndani na kuja pale tulipo akasogea pembeni kidogo kisha mmoja wetu(mfupi hivi) akaenda kuongea naye na kisha kukabidhi CV yake,akaenda nayo ndani kisha akatoka tena na kuongea na jamaa mwingine aliyekuwa amesimama pembeni kabisa(nadhani akimsuibiri) akachukua CV ya huyu mtu then akaingia ofisin tena. Muda ulifika tukaitwa na mtu mwingine ambaye ndio muhusika tukaenda kufanya test(pamoja na wale wawili) kisha wote tukampa CV zetu kasoro wale wawili. Sasa nashindwa kuelewa kwanini wale walimpa mtu tofauti,muda tofauti na kwa njia tofauti. Test ilikuwa poa na nitafaulu ila kwenye kupata kazi sina imani kabisa. Nawaomba watu wa LearnIT wapitie vizuri mchakato huu wa hizi nafasi bila upendeleo.
 
Pole kwa machungu mkuu. Najua inavyouma. Tz kazi zinauzwa mzee. Dah.
 
Pole kwa machungu mkuu. Najua inavyouma. Tz kazi zinauzwa mzee. Dah.

Hata mimi nampa pole,huyo jamaa si ajabu aliongea na hao watu wawili wote na ukute nafasi ni moja tu. Hii nchi siyo,serikalini hakufai hata huko kwenye sekta binafsi hakufai. Sijui tukimbilie wapi. Hao Learn IT wamfuatilie huyo mtu achukuliwe hatua
 
Pole sana hiii ndio tz inaongoza na mavazi ya rangi ya kisamvu
 
pole mkuu ndo hivyo nchi ishauzwa hii kila kona ni majanga tu
 
kaka pole ya wote mi kidogo nisepe kwani mchongo ulikuwa wa kiduwanzi, mi ni yule big nilivaa black shirt, jamaa ni wapuuzi ila tuwasikilizie kwani test ilikuwa kawaida lets wait
 
kaka pole ya wote mi kidogo nisepe kwani mchongo ulikuwa wa kiduwanzi, mi ni yule big nilivaa black shirt, jamaa ni wapuuzi ila tuwasikilizie kwani test ilikuwa kawaida lets wait

Hhaahah nimekusoma asante kwa kuwa shahidi. Wabongo tunaumizana sana,yule dogo aliyekupisha pale upite ukae tangu ameingia namuona anamuulizia 'mtu wa ndani' pale reception,ndio akatoka akampa CV. Wakati wengine tumekuja tukasema tumeitwa kwenye aptitude test tukaambiwa tusubiri lakini wote tumeingia kwenye chumba kimoja mtihani mmoja.
 
hujiamini wewe! acha porojo zako

Nimeomba kazi nyingi na nimewahi kuitwa kwenye interview kadhaa,kwanini niiongelee LearnIT? How big is it? Jadili kilichopo mezani mkuu sio kunijadili mimi. Test ilikuwa rahisi sana,ishu iliyopo mezani ni mazingira yalivyokuwepo.
 
Usikwazike na wachangiaji ambao uhalisia hawajauona,pengine ni miongoni meal,lands ndugu zao au nao walipata kazi kwa njia hiyo.ila kikweli inauma sana.
 
matokeo yanatoka lini? all the bst MSABHA MWENDAPOLE and newbie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom