Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,984
Watoto 4?Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na anapiga boda boda. Toka abarehe hajawahi kuopoa videm vya level zake,yeye ni mitandam tu kwa kigezo cha ghalama na upatikanaji ( cost and availability). Mwaka Jana nilikutana nae na nikamshauri achane na watu waliomzidi umri na atafute wa chini yake (17 - 20),akakubali.
Hakubadili msimamo akawa anatembea na masingle mother wenye watoto 2,3,4 na akipata mwenye mtoto 1 atajisifu kama kapata bikra.
Juzi kati alinambia bro nimepata kitu kikali na nitakileta ukione. Wakaja home dogo na shem, nikaandaa msosi wanguvu, na nilifurahi sana. Sifa za Shem ni white, short chases na churalized woman. Nikamkubali dogo kwa uchaguzi alioufanya.
Jana nimekaa na wife nikawa namsifu dogo kwa uchaguzi mzuri na kuachana na masingle mother. Aisee wife alinicheka mpaka akanikera, baadae akanambia "kazi zako zinaluweka mbali na jamii". Akaendelea kwa kusema kuwa yule binti anamjua na anawatoto 4!! Ila umbo ndo linambeba. Nikamtafuta sister nae kanipa the same Info's.
Agghh aisee hali niliyonayo huyu dogo lazima anirudishie hela niliyotumia kumpongeza. Nilipokuwa nae kabla nilimshauri amuoe kabisa yule dada ila kwasasa mhhh!
Akioa hapo huyo hata handicap inagoma, 1 × 2 ni 0 - 4 kabla ya mechi. Nimeshamwambia kuwa lazima arudishe hela yangu sitaki upuuzi mimi.
Watoto 4?
Mbaya zaidi kama aliwazaa kwa baba tofauti lazima mdogo wako apate pressure.
Kiukweli huwa nawapenda single motherz ila awe na mtoto mmoja na kwa vigezo na masharti vizingatiwe.
Sa sie masingle maza tupone wapi? Mnataka kututenga Mungu hapendi
Tatizo lenu huwa hamsahau mlipotoka....Sa sie masingle maza tupone wapi? Mnataka kututenga Mungu hapendi
Kwani si mnatufata wenyewe? Lini tuliwafata?Watafuteni mliozaa nao au wanaume wenye rika lenu
Dah! Hii game ni nzito sana.Kila mtoto na baba yake.
Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na anapiga boda boda. Toka abarehe hajawahi kuopoa videm vya level zake,yeye ni mitandam tu kwa kigezo cha ghalama na upatikanaji ( cost and availability). Mwaka Jana nilikutana nae na nikamshauri achane na watu waliomzidi umri na atafute wa chini yake (17 - 20),akakubali.
Hakubadili msimamo akawa anatembea na masingle mother wenye watoto 2,3,4 na akipata mwenye mtoto 1 atajisifu kama kapata bikra.
Juzi kati alinambia bro nimepata kitu kikali na nitakileta ukione. Wakaja home dogo na shem, nikaandaa msosi wanguvu, na nilifurahi sana. Sifa za Shem ni white, short chases na churalized woman. Nikamkubali dogo kwa uchaguzi alioufanya.
Jana nimekaa na wife nikawa namsifu dogo kwa uchaguzi mzuri na kuachana na masingle mother. Aisee wife alinicheka mpaka akanikera, baadae akanambia "kazi zako zinaluweka mbali na jamii". Akaendelea kwa kusema kuwa yule binti anamjua na anawatoto 4!! Ila umbo ndo linambeba. Nikamtafuta sister nae kanipa the same Info's.
Agghh aisee hali niliyonayo huyu dogo lazima anirudishie hela niliyotumia kumpongeza. Nilipokuwa nae kabla nilimshauri amuoe kabisa yule dada ila kwasasa mhhh!
Akioa hapo huyo hata handicap inagoma, 1 × 2 ni 0 - 4 kabla ya mechi. Nimeshamwambia kuwa lazima arudishe hela yangu sitaki upuuzi mimi.
Oleweni na waume za watu wanaoongeza wake!!Sa sie masingle maza tupone wapi? Mnataka kututenga Mungu hapendi
Kwani tunawalazimishaga jamaniii, mnatupenda wenyewe lknOleweni na waume za watu wanaoongeza wake!!
Mtu ashaolewa na kuachika aafu anataka mume fresh, si balaa hilo
Masingle mama wanaboa tu kwa kuona mtoto alie nae ana thamani kuzidi ww uliempenda kila mara anakutajia mwanae mwanae wanakera sana alaf ukimuacha anaanza lawama