Wengine inategemea na malezi na mahali tunapotoka, mi siwezi kuanika chupi watu au ndugu wa kiume waione, lazma niifunike na khanga au nisianike nje sababu sio uchafu ila naona sio sawa
Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni