Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora, leo wamehamia CHADEMA

Ina maana kaz wanayofanya TISS ya kuwanunua kina lipumba ghal ni 0 - o
 
Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora leo wamejiunga na CHADEMA
11855639_604605103014318_8541391969954900051_n.jpg


Mbowe aliona mbali.
 
Madiwani wote wa CCM manispaa ya Tabora leo wamejiunga na CHADEMA
11855639_604605103014318_8541391969954900051_n.jpg

Regina umeleta habari njema sana. Pongezi kwa wote nanaojitambua. Karibuni Chadema. Pipoooooooooozzzzzzz!!!!!
 
2015 Watanzania watashinda !
Huh no Mwaka wa kuvunja
Rekodi !

Usiangalie tuu Unachopoteza Bali Unachopata kinakidhi Lengo LA Msingi ????
 

Attachments

  • 1438864987661.jpg
    1438864987661.jpg
    42.8 KB · Views: 1,562
Lazima CCM iondoke hata iweje
Chama Cha mafisadi 50 years nothing has been done so far since our independence!
October kitaeleweka tuu

Hakuna tena madiwani baada ya mabaraza yote ya madiwani kuvunjwa kusubiri uchaguzi mkuu....msitudanganye kama DJ wenu alivyowatapeli kwa kuuza chama...
 
Hivi hawa nyumbu hua wanahama baaada ya kukatwa au?

sipo kuchangia hoja hii bali kukueleza jinsi ya kutumia jukwaa hili bila kuwakwaza wengine. How comes unawaita binadamu nyumbu kisa wana itikadi tofauti na yako? Au wewe ni mtoto wa kinana aliyewaita wenzake walioshindwa kuteuliwa nafasi ya uraisi makapi? Acha aina yako hii ya kuwalinganisha wengine na wanyamapori. Au wewe ni ngiri kama wao ni nyumbu? Hii ni siasa acha uadui na ushabiki wa kizamani.
 
Lazima CCM iondoke hata iweje
Chama Cha mafisadi 50 years nothing has been done so far since our independence!
October kitaeleweka tuu



Dada yangu usitake kujidanganya Tabora hatuna Chadema hao watu wanapima upepo tu!! bora waende ACT !!
 
Kifo cha ccm hakizuiliki ccm ndio mwisho wao lazima wafe kwa kutapatapa
 
Dada yangu usitake kujidanganya Tabora hatuna Chadema hao watu wanapima upepo tu!! bora waende ACT !!

Hao madiwani na kuwa katika uongozi hawajui siasa waende chama kisicho na watu endelea kujifanya unajua siasa kuliko wao eti Act chama cha wasaliti
 
Nilishasema kwa haya mafuriko ya bwana mamvi hakuna hata mwanaccm mmoja atakayesalimika.
 
mipango ya mungu binaadabu hawezi panguwa!!
 
Back
Top Bottom