Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

mkoa kwa mkoa. si wanawaita makapi!? magamba kwishney
 
Mtu hataki hajui hata pande kuu za dunia ni zipi ndo maana hajui kahama na tabora zipo wapi anahis ni kaskazini huko
 
Hata wasanii wetu cmjifunze na mjionee kwa babusea baado mnangania mnangangania Maiki yenye gamba
 

hahahahahahahahhahahahaha very funny
 
lipumba keshajitafutia msitu mapemaa anajua sebene linalokuja cose magari 700 hayatoshi kuzuia mafuriko,mtaona.....
 
Mwaka huu namuonea huruma yule mzee JD amewekeza sana kwenye ubunge wa Meru haya sasa dogo Janja ameshamtangulia mbele wote hawa waliokuja CHADEMA wanatoka kata zenye watu wengi sijui atatoka vip. Hongera Comred Nassari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…