Eeehhh Mungu wa waislamu na mungu wa wakristo nakuomba uangazie mkoa wetu wa Tabora mwanga,mwanga utakaowafungua macho wanyamwezi wenzangu waone manyanyaso tunayoyapata toka kwa uongozi dhalimu wa CCM ili siku moja waikatae CCM na sisi angalau tusogee mbele kidogo!Eeeh mungu kwanini hauufanikishi uchaguzi mpya kwenye majimbo kama ya Tabora mjini?Maana tuna mbunge wa Simba sports Club asiyetaka kutatua matatizo ya jimbo lake,mwenyezi mungu tuonee huruma kwani tukisubiri mpaka 2015 wanyamwezi tutakuwa tumekwisha kwa matatizo yanayotuandama!!Mungu tupatie jambo mbunge mmoja tu wa upinzani kwenye mkoa wetu kama ulivyofanya uchaguzi wa mwaka 1995!!! Mwenyezi mungu ni haki kweli mpaka karne hii mkoa haujaunganishwa kwa lami na mikoa mingine bila kujali kuwa ni njia panda ya mikoa mingine zaidi ya mi5 achilia mbali nchi za jirani kama burundi,Rwanda na Congo ya mashariki,mkoa unashida ya maji yakupitiliza wakati tafiti zinaonyesha kuwa na reserve ya kutosha ya chemichemi(Underground water) tena inayopatikana kwenye kina kifupi ardhini!!Mungu tumekukosea nini waja wako????