Madiwani wa Moshi wagomea mafunzo kisa posho ya Tsh 100,000

Wabongo bana. Watu wanazunguka kutetea kisa uchama. Hao wanasiasa wote wako sawa, wako kwa manufaa yao tu haijalishi ni wa chama gani!
 
Huyo mkurugenzi muungwana sana, alitakiwa awape maji ya kilimanjaro na bisi za mahindi basi
 
Siku chadema wakitawala rushwa italiwa kama njugu, mungu apishe mbali
 
Back
Top Bottom