MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.
MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

He he heeeeee kumekucha , waache wafu wawazike wafu wenzao. Hapo bado hawajapewa nchi, siku wakipewa nchi watagombea mpaka hazina ya nchi na kugombea rasilimali za nchi. Tuliisha sema cdm iko kwa maslahi binafsi na si ya nchi, kalagabaho !
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.
MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU
sasa hapo nini cha ajabu yaani umepoteza muda wako wote kuleta u..sh..uzi huu ati watu wajadili si bora ungeandika kuhusu waziri wenu aliyesema ati tanzania ilipata uhuru mwaka 11964 na imeunganishwa na pemba na zimbabwe hapo tungekuelewa sana tu.
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.
MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU
Hii nayo umeona ni story???Una lako jambo gamba mkubwa wewe....ptyuuuuuuuu!!!Tupa kuleee.
Huna lolote kazi ya magamba ni kueneza udini tu kila wakati..muulize mwenyekiti wenu amelikoroga na sasa analinywa,nyambafffffff.sasa Story nini au ni WAISLAM....MAKANISA....UWAMSHO...NA NGURUWE....MADIWANI KUGOMBANIA KUPANDA GARI NI MATUSI....THEN NYIE NDIO MNATAKA KUCHUKUA NNCHI...BOLA TUMPE EL...NA CCM...KULIKO KUCHINJA NGOMBE KWA MSUMENO......
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.
MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU
Punguza hasira za kushindwa Shindwa UVCCM