Madiwani wa CHADEMA wako wangapi Dar?

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Habari za leo ndugu wana JF,

Naomba kufahamishwa idadi ya madiwani wa CHADEMA waliopo kwenye jiji la Dar ni wangapi na kata zao ni zipi.

Baadhi ya kata zinazoongozwa na CHADEMA ni Ubungo,Kimara,Kijitonyama,wadau naomba tujuzane kata zingine ambazo CHADEMA wana madiwani jijini Dar.
 
Mimi nawajua wawili ambao kisheria ni Madiwani kwenye Manispaa zao: Halima Mdee(Mbunge wa Kawe) na John Mnyika(Mbunge wa Ubungo).Wengine wataongezwa na wakuu...
 
Oh my God. . . . .hili swali tangu February 2012 halijajibiwa????!!

Tumaini Makene . . . . . . . . . kuna kazi inakuhusu hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom