Madiwani wa Chadema Kagera wafundwa

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Habari kutoka Bukoba zinasema jana kulikuwa na semina elekezi kwa madiwani wote wa Chadema watokao mkoa wa Kagera.
Hii ni moja ya kazi wanayofanya sasa Chadema nchi nzima katika kuwaweka madiwani wake katika hali ya kufanya kazi na kurudisha fadhila kwa wananchi waliowachagua kwa namna ya kuwatumikia na si kulala kama wale wa kile chama kikongwe.........


IMGP0859 i.jpg

IMGP0861 i.jpg
IMGP0873 i.jpg
 
Safi sana walifania st francis
Mada zilikuwa ni zipi?
Walikuwa ELCT Bukoba hotel.
Mada zilikuwa zipi? Ningetegemea wewe ungelikuwepo mazee! Kumbe na wewe hukuwepo?
Hata mimi sikuwepo ila nimeletewa tu habari hii kama nilivyoileta na mimi nimeibandika hapa.
Nisaidie upeleleze ujue mada zilikuwa ni zipi mazee!
Ninachojua ni kwamba madiwani, na wabunge wa Chadema nchi nzima wanafundwa wajue wajibu wao kama madiwani wa upinzani na ni vipi wafanye kuwakilisha vema wananchi waliowapa ridhaa. Semina elekezi hizi mara nyingi utolewa na viongozi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom