Tetesi: Madiwani wa Chadema jimbo la Mtama kujiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa

Unaidharau kazi ya kukaanga sambusa, wakati huo huo unaitukuza kazi ya kuuza chai na maandazi ndani ya buffet ya trc kipindi kile?


In God we Trust
Hahahaaaa.......sijadharau nimeelezea namna nilivyomfahamu kamanda Methew!
 
Giza linapizidi ujue kunakaribia kukucha...acha waingie huko kwa wingi alafu kuchafuke! litatokea limpasuko likubwa chama kitasambaratika na kuanzishwa chama kipya cha upinzani bora kuliko hiki tulichonacho hapo ndipo tutapata mpinzani wa kweli wa CCM mwaka 2025 inshahla tukijaaliwa.
Huu u-plofit ni kipaji tuu sijasomea na situmii mafuta lakini nizaidi ya ma-profet wenu mnaokimbilia na kuanguka
 
Ndugu punguza madharu kwa usiyo kubaliana nao kiitikadi maana kuna wengine wanakufahamu vema wapi ulianzia

In God we Trust
Bwashee kwani kuuza kukaanga samosa ni dhambi?!

Hata Freeman na Kusaga walianzia kwenye Udj!

Kila mtu ana historia.
 
Ndiyo sasa upunguze madharau na masimango ya kudharau watu kisa nature ya kazi zao
Bwashee kwani kuuza kukaanga samosa ni dhambi?!

Hata Freeman na Kusaga walianzia kwenye Udj!

Kila mtu ana historia.

In God we Trust
 
Siyo Methew tu jenga utamaduni wa kuheshimiana tu hata na wale unao tofautina nao kiitikadi maana nakuhakikishia Yohana kuwa wengine upo nao humo humo ulipo ila tofauti yenu ipo kwenye itikadi
Bwashee mimi namuheshimu sana kamanda Methew!

In God we Trust
 
kwa nini ccm wasiruhusu tume huru kwa sababu wao wanapendwa na wananchi?
 
ccm kama wanaubavu waruhusu tume huru ili mwaone kama wanapendwa pamoja na kurubuni wanasiasa malaya malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…