Tetesi: Madiwani wa Chadema jimbo la Mtama kujiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa

Kwako wewe hayo ndio maendeleo, pole sana sijakujua jinsia Kama Me au Ke,!!
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.

Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwiga meku hapa tunazungumzia Chadema kanda ya kusini ambalo mwenyekiti wake ni Suleiman Methew wa Wekundu wa msimbazi na mbunge wake pekee alikuwa mh Cecil Mwambe wa CCM!
Sasa kwa kukusaidia umbulula wako Cecil anatoka Ndanda, Mathew aligombea na Mh Nape Mtama, na Nape anajua alipataje ubunge kwa vile mna kutana Lumumba muulize ana mfahamu vipi Mathew!! Acha kutuambia Cecil alikuwa mbunge wa Mtama.. Hamjui hata mna changia nini hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeonaeeeeee?
Huyu jamaa nilisha mdharau kitambo maana nilimfuatilia background yake nashangaa hata leo hii uwezo wa kutumia smartphone kaupata wapi.
Halafu ukijua kuwa ni kuokoteza okoteza haonyeshi mahusiano kati ya jimbo LA Mtama na Ndanda.
Inaonyesha hajui Ndanda iko wapi na Mtama iko wapi! Hao ndio "ma intellectual" wa Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Hapa lumumba kuna mbunge mwingine atapokelewa kesho!
Kwanini mnasubiri kesho? mpokeeni leo usiku...tumechoka na mambo ya kijinga katika taifa hili. Ni ajabu awamu hiyo tumeongozwa na washamba wamegeuza mambo ya kuliumiza taifa kuwa mambo ya kushangilia. Hivi pesa za wananchi zinazochezewa kupitia huu uhuni wa kishamba unawaumiza wananchi, lakini wananchi hao hao wanachelea. Eti wanapambana na rushwa na ufisadi huku wakicheza michezo ya rushwa na ufisadi. Hivi hii nchi nani ameiloga?
 
Inaonekana hata jimbo la mtama lipo wapi na jimbo la ndanda lipo wapi, na hakika huyajui hayo na huna ABC za hayo majimbo
Mbwiga meku hapa tunazungumzia Chadema kanda ya kusini ambalo mwenyekiti wake ni Suleiman Methew wa Wekundu wa msimbazi na mbunge wake pekee alikuwa mh Cecil Mwambe wa CCM!

In God we Trust
 
Sasa kwa kukusaidia umbulula wako Cecil anatoka Ndanda, Mathew aligombea na Mh Nape Mtama, na Nape anajua alipataje ubunge kwa vile mna kutana Lumumba muulize ana mfahamu vipi Mathew!! Acha kutuambia Cecil alikuwa mbunge wa Mtama.. Hamjui hata mna changia nini hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zao ziliishachotwa vichwa vimebaki empty!
 
Inaonekana hata jimbo la mtama lipo wapi na jimbo la ndanda lipo wapi, na hakika huyajui hayo na huna ABC za hayo majimbo

In God we Trust
Bwashee Jimbo la Mtama lipo Lindi na Ndanda ni Mtwara.

Wakati wa ziara ya Rais Magufuli Mwambe tulikuwa naye kuanzia Lindi mjini,, Ndanda hadi Masasi na akatuonyesha kijijini kwenu mkuu Mmawia!
 
Kwiiisha habari zao hao watumwa
Watakutana na wakongwe wa CCM waliojipanga kugombea nafasi hizo. Yaani wataishi kama watoto wa kambo mpaka uchaguzi uishe.
FB_IMG_1521609809883.jpeg

In God we Trust
 
Ndiyo nakwambia hujui ABC za hayo majimbo, sasa sijui unashindwa kuelewa nini hapo?
Bwashee Jimbo la Mtama lipo Lindi na Ndanda ni Mtwara.

Wakati wa ziara ya Rais Magufuli Mwambe tulikuwa naye kuanzia Lindi mjini,, Ndanda hadi Masasi na akatuonyesha kijijini kwenu mkuu Mmawia!

In God we Trust
 
Sasa kwa kukusaidia umbulula wako Cecil anatoka Ndanda, Mathew aligombea na Mh Nape Mtama, na Nape anajua alipataje ubunge kwa vile mna kutana Lumumba muulize ana mfahamu vipi Mathew!! Acha kutuambia Cecil alikuwa mbunge wa Mtama.. Hamjui hata mna changia nini hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema Cecil Mwambe alikuwa mbunge wa Mtama.

Cecil Mwambe namfahamu hadi kijijini kwake na baba yake alikuwa ni daktari pale Ndanda na shangazi yake ndiye huyu mama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dsm, Kate Kamba.

Suleiman Methew alikuwa beki wetu nambari 5 pale Yanga baadae akaenda Simba na baada ya kustaafu soka aliajiriwa na Kassimu Dewji aliyekuwa Katibu mkuu wa Simba katika mgahawa wake wa Food World pale Posta na kazi yake kubwa ilikuwa ni kukaanga Sambusa ( samosa)

Kuna kipindi Dr Mwakyembe alitimua wapiga dili wa Clearing & Forwading agencies pale mjini so pale Food world biashara ikaporomoka hivyo mkaanga sambusa Methew akarudi kijijini kupalilia mikorosho!
 
Siyo habari ndugu, habari ya mujini kwa sasa ni Bashite kupigwa ban ya kwenda kutafuta mtoto Marekani

In God we Trust
Hahahaaaa....... Anaileta Marekani Kigamboni, tatizo liko wapi bwashee?

Maskini ndio unatamani kwenda Marekani!
 
Unaidharau kazi ya kukaanga sambusa, wakati huo huo unaitukuza kazi ya kuuza chai na maandazi ndani ya buffet ya trc kipindi kile?

Back
Top Bottom