Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,188
Reaction score
570
CHADEMA YAENDELEA KUHUJUMIWA,MADIWANI WAKE WAKE DODOMA WANUNULIWA KUJIUNGA NA CCM.

Wakuu hii habari sio tetesi tena ,naiweka hapa jukwaani kama habari kamili.

Madiwani wa CHADEMA mkoani Dodoma wamedaiwa kunuliwa na CCM ili kuisaliti CHADEMA siku yoyote kuanzia sasa,madiwani hao 3 wanaotajwa kutoka ji,bo la Mtera na 1 hajatajwa anatokea jimbo wala kata gani ndani ya mkoa huo, mpango huo unaoendelea kuratibiwa na viongozi wa CCM mkoa Dodoma kwakwa ushirikiano wa karibu na viogozi wa ACT pamoja na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA jimbo la Mtela mwaka 2010 bwana John Lameck Robote/Lugose,mpango ulioratibiwa kwa mda wa takribani mwezi 1 sasa.

Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii,awali wasaliti hao walikuwa wamepanga wajiuzuru baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,kutokana na mpango huo haramu kugunduliwa na intelegensia ya CHADEMA,wameamua kuuharakisha na sasa hautasubiri mwezi mtukufu uishe na mda wowote kuanzia sasa wataitisha mkutano wa waandishi wa habari,ama watarudisha kadi kwenye mkutano wa hadhara unaoandaliwa na CCM Dodoma ,mkutano utakaofanyika mda wowote kuanzia sasa na wamependekeza Jk awepo.

Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii kilichopo miongoni mwa waratibu wa mpango huo muovu dhidi ya CDM,kinadokeza vikao vya awali vilifanyikia katika mikoa ya Daressalam,Morogoro na sasa waratibu wa mpango huo, wapo mkoani Dodoma wakiendelea na uratibu huo kikao kilichoandsliwa kufanyikia Dodoma Hotel,

Mpango huu unaratibiwa na Samwel Malichela (Mtoto wa John Samwel Malichela ambaye anaungwa mkono na viongozi wa CCM jimbo la Mtera na Dodoma katika jitihada zake za kuhakikisha mbunge wa sasa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde"kibajaji"anang'olewa kwenye kiti cha ubunge uchaguzi ujao) kwa kushirikiana na viongozi wa CCM mkoa Dodoma kupitia kwa katibu mwenezi wa mkoa, katibu mkuu wa CCM mkoa wa Dodoma bwana Mgumba ambaye mpaka sasa ndiye alieidhinisha malipo ya kugharamia nauli ya kuwaleta madiwani wa CDM kutoka jimboni Mtera,gharama za ukumbi, malazi jumla ya fedha hiyo ni shili Laki 4 na elfu 70(470,000)

Na miongoni mwa magari yaliyotumiwa katika safari za kuratibu shughuli zote hizo za kutaka kuihujumu CDM ni gari namba T 645 CUG aina ya NADIA, Nyaraka zinaonesha mmliki wa Gari hilo ni bwana Kyamani Elpidius, ambaye hadi sasa haijulikani anajishughulisha na nini, Hata hivyo, mtoa taarifa anaendelea kupasha kuwa CCM hadi sasa wameingizwa mkenge kwani mpango uliopo ni kuwa, madiwani hao watajiunga na CCM kwa muda tu, baadae watarudi kujiunga na Chama kipya cha ACT wakati wa uzinduzi wake mwezi wa 9 mwaka huu.

Na mwisho wa siku wameahidiwa kupewa pesa yote ambayo wangelipwa kama madiwani kwa kipindi cha kuanzia siku watakayojiudhuru mpaka mwakani,pia katika sakata hili kuna mtu mmoja anatajwa kwa majina ya Gwakisa Burton anatajwa kuwa nyuma ya mpango huu.

  • :angry:
 
Siumii juu ya msaliti kuhama,naamini hata nikibaki peke yangu mimi ndiye chadema wa kweli.
-hakika wanadodoma tumedhalilishwa kwa tukio kama hili chafu na ovu kwa ukombozi wa pili wenye maslahi ya umma kupitia chadema.
 
Dodoma wengi wananchi uelewa Mdogo pia na ukame Wa mkoa huo wananchi wameathirika kiakili,ila mkuu usikonde uchafu wote uishe wabaki wasafi msiogope pigeni kazi
 
-hono mmonga wenyu yakunyihulika anye wanduguzngu nkhulomba mulechele lukulu makani go ku saliti wanyausi wose we sii yetu ino yono ikunung'ha rushwa.
-agwe john mdodo wangu mnya makang'wa nhaule? Mahala gago wa gasola kwii!
 
dodoma wengi wananchi uelewa mdogo pia na ukame wa mkoa huo wananchi wameathirika kiakili,ila mkuu usikonde uchafu wote uishe wabaki wasafi msiogope pigeni kazi

mkuu naomba utengue kauli ya uelewa!
-kinacho sumbua ni dodoma viongozi wangu wa chadema naomba mfike vijijini na mijini kwaajili ya kujenga misingi bora ya chama.
-maeneo kama mvumi,nhinhi,mlowa,makang'wa,mpunguzi,mpwayungu,bahi,chigwe na kwingineko.
Nasisitiza makamanda nendeni mkahamasishe zaidi,dodoma imeamka zaidi ya kawaida wanakosa muhamasishaji tu!,
hii ni kweli maana mimi mwenyewe nimejionea.
 
Kila mara tuna sema, iliyokuwa CHADEMA imejengwa kwa misingi ya kibaguzi na kilaghai. Kama baadhi ya wanachama au viongozi wanapogundua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ubaguzi na ulaghai basi ni haki yao kuondoka kwa amani kama baadhi yao wanavyofanya kwa sasa. Vile vile ni haki yao kuwaeleza wananchi kuhusu ubaguzi na ulaghai unaoendelea ndani ya CHADEMA.

Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wanaJf kuwa viongozi wa CHADEMA wananunulika kwa maana nyingine, viongozi wa iliyokuwa CHADEMA wanatumia jina CHADEMA kama bargaining platform.

Chama chenye Itikadi na Sera zinazowaleta na kuwaunganisha wanachama na viongozi wenye malengo yatokanayo na Sera na Itikadi hakiwezi kutumika kama jukwaa la manunuzi ya wananchama na viongozi.

Haishangazi sana kwa sababu hata katiba ya CHADEMA kwa sasa imechakachuliwa na baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu ili waendelee kuwepo madarakani ambapo matokeo yake kwa sasa wameamua kukimbia vivuli vyao na kujificha kwenye kikundi kinachoitwa UKAWA.
 
kila mara tuna sema, iliyokuwa chadema imejengwa kwa misingi ya kibaguzi na kilaghai.

Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wanajf kuwa viongozi wa chadema wananunulika kwa maana nyingine, viongozi wa iliyokuwa chadema wanatumia jina chadema kama bargaining platform.

Chama chenye itikadi na sera zinazowaleta na kuwaunganisha wanachama na viongozi wenye malengo yatokanayo na sera na itikadi hakiwezi kutumika kama jukwaa la manunuzi ya wananchama na viongozi.

Haishangazi sana kwa sababu hata katiba ya chadema kwa sasa imechakachuliwa na baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu ili waendelee kuwepo madarakani ambapo matokeo yake kwa sasa kukimbia vivuli vyao na kujificha kwenye kikundi kinachoitwa ukawa.

wizi wa akaunti ya tegeta 'escrow' hukuchangia ila kwa huu upuuzi wenu umekuja spidi ya hatari.
 
Ili kukata mzizi wa fitina weka ushahidi tuone walivyonunuliwa.
 
Kila mara tuna sema, iliyokuwa CHADEMA imejengwa kwa misingi ya kibaguzi na kilaghai. Kama baadhi ya wanachama au viongozi wanapogundua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ubaguzi na ulaghai basi ni haki yao kuondoka kwa amani kama baadhi yao wanavyofanya kwa sasa. Vile vile ni haki yao kuwaeleza wananchi kuhusu ubaguzi na ulaghai unaoendelea ndani ya CHADEMA.

Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wanaJf kuwa viongozi wa CHADEMA wananunulika kwa maana nyingine, viongozi wa iliyokuwa CHADEMA wanatumia jina CHADEMA kama bargaining platform.

Chama chenye Itikadi na Sera zinazowaleta na kuwaunganisha wanachama na viongozi wenye malengo yatokanayo na Sera na Itikadi hakiwezi kutumika kama jukwaa la manunuzi ya wananchama na viongozi.

Haishangazi sana kwa sababu hata katiba ya CHADEMA kwa sasa imechakachuliwa na baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu ili waendelee kuwepo madarakani ambapo matokeo yake kwa sasa wameamua kukimbia vivuli vyao na kujificha kwenye kikundi kinachoitwa UKAWA.

wewe Mwanadiwani endelea kuwa vuvuzela,nafikiri hasira za Lowassa zinakungoja,wait and see
 
Siumii juu ya msaliti kuhama,naamini hata nikibaki peke yangu mimi ndiye chadema wa kweli.
-hakika wanadodoma tumedhalilishwa kwa tukio kama hili chafu na ovu kwa ukombozi wa pili wenye maslahi ya umma kupitia chadema.

Bora wale bata ukiwa cdm kumbe uko kama almasi kweli vile mbona wccccm hawanunuliwi au cdm njaaa kali sana;;;; kuwa cdm kumbe dili.
 
Ninacho washaur wachukue pesa kabisa kabla ya kutangaza huo upuuzi wao wakienda tangaza kuvua gwanda bila kupewa hela ndio imetoka hyo wawaulize wenzao kilicho watokea walipo vua gwada bila pesa mkononi
 
Ndugu mleta mada hicho unacho kizungumzia, nikweli kiko njiani kwasababu nilikutana na John Lameck Robote/Lugose kipindi yupo dar, kiukwelili alinieleza mengi lakini kikubwa ambacho niliweza kukielewa nikuwa amepoteza sifa za uongozi na zaidi amekuwa nimlevi na mzee wa totoz hivyo kwamaelezo yake na kile nilichokiona nibora aende huko, kwakuwa CDM inahitaji watu waadilifu na si kama yeye alivyo.
 
Back
Top Bottom