Madiwani nyuma yao kuna wanachama wangapi? ndiyo maana mkishindwa mnasingizia kuibiwa simply hajui siasa. Wewe unafikiri madiwani na wabunge hawana wanachama na wapihakura wanaowaunga mkono?Chama sio madiwani tu, idiot!
Uhai wa chama ni wanachama.