Madiwani Serengeti wameungana na aliyekuwa mbunge wao Chacha Ryoba kuisulubu CHADEMA

Chama sio madiwani tu, idiot!
Uhai wa chama ni wanachama.
Madiwani nyuma yao kuna wanachama wangapi? ndiyo maana mkishindwa mnasingizia kuibiwa simply hajui siasa. Wewe unafikiri madiwani na wabunge hawana wanachama na wapihakura wanaowaunga mkono?
 
Sasa kinachokufanya ubwate kwamba cdm inakufa ni nini wakati wanaoiunga mkono ccm ni wa kusaka na tochi mchana? Kama mlifanikiwa kuhujumu vyama vya upinzani huko nyuma ni kwakuwa watu hawakuwa na uelewa, sasa hivi watu wanajitambua. Hongeni viongozi wananchi wanabaki wanawachora.
Wewe ingia mitaani uone hali halisi kama kuna chadema kama 2015!! Mmebaki huku tu JF hata laki mbili hafiki tena jiulize wakina BAK wako wapi wameamua kubeba mabox tu siasa ya TZ imewashinda. CCM ni chama dume!!
 
Wewe ndiyo hopeless kabisa ingia mitaani uone hali halisi kama kuna chadema kama 2015!! Mmebaki huku tu JF hata laki mbili hafiki tena jiulize wakina BAK wako wapi wameamua kubeba mabox tu siasa ya TZ imewashinda. CCM ni chama dume!!

Huko mtaani hakuna nguo za cdm kwani ni uhaini kukutwa na nguo zao. Lakini nenda kwenye box la kura uone mahudhurio fananisha na miaka hiyo. Kama mlitarajia hujuma ndio zitaiua cdm basi mmeukalia safari hii.
 
Mkuu hao viongozi kuondoka ndio kufa kwa cdm? mbona sisi mashabiki tupo na wala hatujali wala kuvutika huko wanakoenda hao viongozi? Hizo mbinu za kuua vyama vya upinzani zilifanikiwa siku za nyuma kabla wananchi hawajajitambua, lakini kwa sasa mbinu hizo zimekuwa za kizee mno. Nadhani ili kujua wananchi wamejitambua umeona idadi ya wapiga kura ilivyo ndogo. Na ukitaka kuamini nenda kwenye makundi ya watu mbalimbali ongea nao kama wanaamini wanachoongea hao viongozi wanaohama. Nikiwa kwenye hali hii huwa napata burudani ile mbaya. Hao kitengo wanawaingiza mkenge watu wameshaamka kaka.
Sasa research yako ndani ya jiji ndo iwe ya nchi nzima?,tena maskani kwenu
 
Huko mtaani hakuna nguo za cdm kwani ni uhaini kukutwa na nguo zao. Lakini nenda kwenye box la kura uone mahudhurio fananisha na miaka hiyo. Kama mlitarajia hujuma ndio zitaiua cdm basi mmeukalia safari hii.
Mkuu chaguzi za marudio huwa hazina hamasa sana! Lakini kwa sheria ya uchaguzi hata ukipata kura moja zaidi ya mpinzani wako tayari umeshinda kwa hiyo haina maana sana hiyo hoja yako. Ukweli ni kuwa kama mngekuwa na wapigakura wengi wangejitokeza kupigakura mkuu!
 
Endelea kuota mchana ndiyo maana wala ruzuku wenzako wameshajua uchaguzi hawashindi wameamua kususia. Madiwani zaidi ya 100 eti wamenunuliwa then Chadema siyo taasisi ya kuipa nchi tena itauza nchi kabisa!

Madiwani mia wachache chukueni hata 1,000 lakini kuwavutia watu itakuwa ngumu. Unasema ukiwapa cdm nchi itauzwa, iuzwe mara ngapi? Tuliambiwa Acacia hawajasajiliwa hapa nchini lakini mpaka leo wapo na shughuli zao kama kawa. Hao barrick tuliambiw tunawadai na blabla kibao lakini hawajatupa hata shilingi na bado wanachimba madini. JK kaingia mikataba 16 ya siri na wachina, unajua walipatana nini. Kwa hayo machache unasubiri uuzwe mara ngapi? Au mpaka ukabidhiwe kwa basha wa kichina ndio uamini?
 
Hakuna ushindi unaoporwa,kasi ya Rais Magufuli ni zaidi ya 4G,Usipime,wananchi wamemuelewa
Sasa kama ni kasi ya raisi ndo inawafanya chadema hivi akichaguliwa mkiti mwingine ndo atapunguza hiyo kasi? Maana sioni connection kati ya utendaji mzuri wa raisi mpaka wapinzani kujiuzulu ili kumpa sapoti na uenyekiti wa mbowe.
 
Ajiuzuru,tuchague mwenyekiti mwingine ,tutapata jibu
 
Mbowe alisema kuwa siku wanachedema wakimwambia ajiuzuru atafanya hivyo haraka. Sasa cha ajabu eti wanaCCM ndo wanajifanya wanauchungu na CHADEMA!!!
DUUUUUUUU , mnataka ajiuzuru ili kiwe nini?
 
Madiwani mia wachache chukuebi hata 1000 lakini kuwavutia watu itakuwa ngumu. Unasema ukiwapa cdm nchi itauzwa, iuzwe mara ngapi? Tuliambiwa Acacia hawajasajiliwa hapa nchini lakini mpaka leo wapo na shughuli zao kama kawa. Hao barrick tuliambiw tunawadai na blabla kibao lakini hawajatupa hata shilingi na bado wanachimba madini. JK kaingia mikataba 16 ya siri na wachina, unajua walipatana nini. Kwa hayo machache unasubiri uuzwe mara ngapi? Au mpaka ukabidhiwe kwa basha wa kichina ndio uamini?
Komaa kukinusuru chama chako pendwa,si unalipwa?
 
Mbowe alisema kuwa siku wanachedema wakimwambia ajiuzuru atafanya hivyo haraka. Sasa cha ajabu eti wanaCCM ndo wanajifanya wanauchungu na CHADEMA!!!
DUUUUUUUU , mnataka ajiuzuru ili kiwe nini?
Thubutu!,kuna mwanachadema wa kufungua mdomo wake kwa Mbowe?,wote chini ya ulinzi
 
Mkuu chaguzi za marudio huwa hazina hamasa sana! Lakini kwa sheria ya uchaguzi hata ukipata kura moja zaidi ya mpinzani wako tayari umeshinda kwa hiyo haina maana sana hiyo hoja yako. Ukweli ni kuwa kama mngekuwa na wapigakura wengi wangejitokeza kupigakura mkuu!

Unazungumzia ushindi au kukubalika? Ushindi hata aliyepindua nchi si ndio kiongozi? Kama kweli uchaguzi mdogo hauna hamasa na hilo linaeleweka ni kipi kinafanya tume ipike idadi ya wapiga kura? 2015 mpaka leo ni 3yrs, hao wapiga kura wamefariki mpaka wasiwepo? Je katibu mkuu wa ccm alikuwa analalamika nini idadi ya wapiga kura kushuka? Ni hivi Wananchi wamepuuza huo ushenzi unaoitwa uchaguzi baada ya kuona kinachoendelea ni uhayawani ili ccm watangazwe washindi.
 
Back
Top Bottom