Madiwani kumburuza Mbunge Kigwangala Mahakamani!!

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Nzega mkoani Tabora wamesema wanakusudia kumpeleka mahakamani Mbunge wa Nzega kupitia CCM mh Kigwangala kwa kuwaita wala Rushwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu mwenyekiti wa halmashauri ya Nzega mh BEN IZENGO amesema kuwa ktk kikao cha halmashauri kilichokuwa kikifanyika juzi Mh Kigwangala aliwatuhumu Madiwani hao kwa kuwaambia wamekula Rushwa.kitendo ambacho sio cha kweli na kimewachukiza sana. Amesema kuwa pamoja na kuwa mh Kigwangala aliomba Msamaha lakini Nia yao ya kumpeleka mahakamani ipo pale pale!

Source; Radio Free Afrika.

Waangalie huko mahakamani yasitokee ya pinda na sugu. Afu si ni wa ccm!? inawezekana ikawa kweli....
 
Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Nzega mkoani Tabora wamesema wanakusudia kumpeleka mahakamani Mbunge wa Nzega kupitia CCM mh Kigwangala kwa kuwaita wala Rushwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu mwenyekiti wa halmashauri ya Nzega mh BEN IZENGO amesema kuwa ktk kikao cha halmashauri kilichokuwa kikifanyika juzi Mh Kigwangala aliwatuhumu Madiwani hao kwa kuwaambia wamekula Rushwa.kitendo ambacho sio cha kweli na kimewachukiza sana. Amesema kuwa pamoja na kuwa mh Kigwangala aliomba Msamaha lakini Nia yao ya kumpeleka mahakamani ipo pale pale!

Source; Radio Free Afrika.

Bora wafanye hivyo itakuwa vizuri,,ila watazame tuu huenda akawa na ushahidi kuwa wanakula rushwa
 
Ningekuwa sina ushahidi wangekuwa na kesi, lakini kwa kuwa ninao sina shaka...

aliyewapa na waliochukua wote watajishtaki.

Kigwangallah unasema nini wewe....wewe na Madiwani wa CCM wote ni ukoo wa Panya, baba mwizi, mama mwizi na watoto wezi.
  • Ripoti ya CAG(Management Letter) Annexure ya V inaonyesha jinsi wewe na madiwani wako mlivyochukua Posho ya Shs.8, 688,000 bila kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Na DED aliwajibu wakaguzi kuwa ''amewataarifu ninyi wahusika mzi-refund''. Sasa unazungumzia rushwa ipi hapo bro.
  • Kuhusu mfuko wa jimbo wewe ndio muhujumu nambari wani, minutes za vikao zinaonyesha hivyo coz umeleta jeuri kwny kupitisha ugawaji wa fund kiasi kwamba fund zikapelekwa mwaka ukiwa umeisha na Shs.109,209,975 hazikufanya chochote katika mwaka husika.
  • Halafu ile kashfa ya vifaa tiba vipi?
New Picture.png
 
Hapo Nzega walibugi kweli angalieni majibu yake sasa. nahisi anaelewa kuwa hatorudi tena bungeni, by the way acha mataptap ya kachoma yawatokee puani sherehe za kwenye kampeni tu zinawatesa miaka mitano
 
Huyu jamaa yangu naona kama uwa hajitambui vile maana kila ukimuona anaongea unashindwa kujua hata kama amesoma. Lakini nadhani ni nafasi za kubebwa huku mtu akiwa hana uwezo ni mtu wa kuhurumiwa

Kigwangallah unasema nini wewe....wewe na Madiwani wa CCM wote ni ukoo wa Panya, baba mwizi, mama mwizi na watoto wezi.
  • Ripoti ya CAG(Management Letter) Annexure ya V inaonyesha jinsi wewe na madiwani wako mlivyochukua Posho ya Shs.8, 688,000 bila kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Na DED aliwajibu wakaguzi kuwa ''amewataarifu ninyi wahusika mzi-refund''. Sasa unazungumzia rushwa ipi hapo bro.
  • Kuhusu mfuko wa jimbo wewe ndio muhujumu nambari wani, minutes za vikao zinaonyesha hivyo coz umeleta jeuri kwny kupitisha ugawaji wa fund kiasi kwamba fund zikapelekwa mwaka ukiwa umeisha na Shs.109,209,975 hazikufanya chochote katika mwaka husika.
  • Halafu ile kashfa ya vifaa tiba vipi?
View attachment 101173
 
Hii nimeipenda. JF ni zaidi ya mahakama! Ukijifanya wajua wenzako wako mbele hatua hamsini zaidi.
 
Namshauri HKigwangalla arudie taaluma yake ya dr siasa haiwezi anawavuruga tuu wana nzega.
Wewe ni mtu wa aina gani kila mara wewr tuy mara upigane kwenye vikao mara utukane viongizi wenzio mara rushwa vitumbua..na waliopitisha jina lako kugombea walitumia #makalio kufikiri wewe ni zaidi ya kiazi.
 
Last edited by a moderator:
Yeye mwenyewe ni mrushwa mkubwa anaongea nini hapa?
 
Ningekuwa sina ushahidi wangekuwa na kesi, lakini kwa kuwa ninao sina shaka...

aliyewapa na waliochukua wote watajishtaki.

Hata hivyo hawajui kuwa ukisema mambo kwenye Baraza la madiwani unakuwa na kinga? maskini madiwani wangu...hawatoweza kupambana na Mbunge wao.

Wakiendelea kupiga kelele kwenye vyombo vya habari kwa kudanganywa na vibaraka wao nitawashtaki kwa wananchi ili wahukumiwe kisiasa 2015...

Wakiwa wajanja na wakitumikisha bongo zao watanyamaza na kuja kuomba radhi kwangu kama ambavyo huwa wanafanya mara nyingi tu...kinyume cha hapo sintowasamehe...nitawashataki kwa wananchi madiwani wote wenye tuhuma za rushwa na za ubadhirifu wa pesa za mfuko wa jimbo na za miradi ya maendeleo

inaonyesha umezungukwa na madiwani wajinga na wote wanatoka CCM chama cha wajinga
 
Mbona inasemekana wewe ndiye ulie omba msamaha ili yaishe?

Duh ajabu ya 8 ya dunia,PANYA KAMLA PAKA>Mkuu imekuwaje leo ukasimamia ukweli au BUKU 7 FC leo hampo kazini?Hebu muite mwambie kuna attachment yenye tuhuma dhidi yake aje aijibu
 
Back
Top Bottom