Wana JF jana nilifikiri kuhusu ucheleweshaji wakuamua hii miradi lini na wakati gani ianze kama Mku wa Dsm-mkoa alivyosema nkaona kuna jambo la kufanya kukata mzizi wa fitina.
Sasa sijui vizuri kama Madiwani wanapata mishahara nachojua wao wanaishi kwa posho za vikao. Kwa mantiki hiyo "it goes without say" kwamba lazima miradi ichelewe ili posho nazo ziwe nono. The more vikao the more money they get.
Nadhanihawa watu wapangiwe mishahara kwa mwezi ili vikao viwepo bila posho hapo miradiitakwenda.