Madiwani Chadema walipuana.

Wewe tangu dada yako afanye kazi ya bar unadhani kila mtu anafanya kazi bar.

nyie wala hata cyo bar tu,ni zile bar mbege na gongo,na kama siasa inawashinda kuweni wastaarabu japo kidogo, mnashusha heshima yenu, kazi mnayo mpak 2015 mtabwata sana, poleni sana, cdm kazi ni kwako
 
Mkuu chadema walianza na shetani watamaliza na shetani kwa sasa wamefikia hatua ya kupigana matofari kwenye vikao baada ya wizi wao wanaoibiana pesa za ruzuku sasa wanatandikana.

kakumbia nani, itakuwa shetani ndo dadaako
 
hivi kipi kizuri? Kuwa mfuasi wa babu na kuwa mfuasi wa mlipuaji mwigulu?

akili maji kbc huyo, na hi dharau eti babu, hawa ccm kazi ni moja kula nao sahani moja mpaka kiherehere kiishe, wanawaza ni matumbo na kupiga makofi tu bungeni
 
Chama kinachoongozwa kinafiki khna maisha mafupi kama maisha ya funza.
 
nyie wala hata cyo bar tu,ni zile bar mbege na gongo,na kama siasa inawashinda kuweni wastaarabu japo kidogo, mnashusha heshima yenu, kazi mnayo mpak 2015 mtabwata sana, poleni sana, cdm kazi ni kwako
Kwa hapo ulipo unasumu au tofari?
 
Mlianza na shetani mtamaliza na shetani mmefanya maasi mengi sana mungu kawalaani rudini kwa shetani.
unackia raha sana kumtaja shetani, ila najua msumari umeingia vzri, jifunzeni kupokea matokeo, hapa ni siasa safi tu,mlizoea sana kuiba na kudhulumu kura sasa mtaonja joto la jua,lazima visigino vikatike mwaka huu
 

Umefufuka? Naona bado unachuki dhidi ya CHADEMA kwa kuwa walikufukuza....... Any way Mzee hajambo? Vipi mtalipua wapi tena?
 

Hongera binti mrembo kwa kupata cha kukuingizia posho yako ya buku saba kwa siku ya leo.

Chagulani si mwanachadema, sasa unapomtaja kama diwani wa Chadema unaonekana dhahiri jinsi ulivyo na IQ ndogo sana.
 
Wasiojua maana hawatakiwi kupewa jambo la maana. Adamu Chagulani ni Diwani kupitia mahakamani. Chadema alifukuzwa muda mrefu.
 
Shonzaaaaaa!!!!! Nakukumbuka sana
 
mi sijaelewa siku hizi madiwani wanakusanya ushuru mpaka wagushi vitabu vya risiti? Naombeni ufafanuzi kwa wenye uelewa
 
Sasa matusi ya nini jamani. Mbona mimi nimewapasha habari kistaarabu kabisa. Au mmeshaamka na viroba na mbege kama kawaida yenu.?

Huyo Chagulani unayemuita diwani wa CHADEMA alishafukuzwa CHADEMA kama ulivyofukuzwa wewe sasa hivi ni diwani wa mahakama....nadhani umeelewa sasa kwa nini umetukanwa division 5 mkubwa wewe.
 

hivi wewe hata mwanao akiiba huwezi kumsema? mwenye laana ni wewe usiyejua athari za kughushi na unaona kumkaripia anayeghushi ni kuwa na laana kutoka kwa Mungu.

Na pia kwa kukuelimu Mungu halaani mtu. Labda mungu wa kwenu na chama chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…