Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Kosa langu hasa ni lipi..,kufikisha habari hii au..? mbona imeanza mvua ya matusi..hivi ninyi wafuasi wa babu mnamatatizo gani katika vichwa vyenu..?
Madiwani wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamelipuana katika kikao cha Baraza la Madiwani Jiji la Mwanza, baada ya Diwani wa Igoma, Adamu Chagulani kumtuhumu mwenzake wa Kata ya Pamba Samwel Range kuwa ameghushi stakabadhi za kukusanyia malipo katika masoko yaliyopo katika kata yake.
Tafrani hiyo ilizuka jana katika kikao kilichokuwa kinajadili namna ya kupambana na taarifa zilizopo kuwa baadhi ya watendaji si waaminifu katika jiji hilo.
Chagulani, alisema kuwa watendaji hao wamekuwa wakichapisha stakabadhi feki kwa lengo la kuliibia jiji ili lisiweze kupata mapato kwa mujibu wa sheria.
Chanzo cha habari:
Gazeti la Kila siku la RAI, Ijumaa Novemba 8, 2013.
Ukurasa wa 7.
ANGALIZO:
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
Amini amini nawaambia.,chama hiki kina LAANA kutoka kwa mungu mwenyewe...
Juliana Shonza,tangu lini Chagulani ni diwani wa Chadema?Chagulani kwa jinsi nijuavyo ni diwani wa mahakama.Juliana shonza ni chadema chenye laana kutoka kwa Mungu au ni wewe mwenye laana? Hata maandishi unayoandika yanaonyesha umelaaniwa toka kwa Mungu.Halafu wewe una tofauti gani na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu? Tofauti kati yenu ni moja tu,yaani Yuda alikuwa mwanamme malaya aliyemsaliti Yesu ili awafurahishe mabwana zake waliomtuma na wewe Juliana Shonza ni mwanamke malaya uliyeisaliti Chadema ili kuwafurahisha mabwana zako waliokutuma ccm.Jambo moja mnalofanana ni kwamba wote wawili mmelaaniwa.Mwenzako alijinyonga na wewe subiri zamu yako utakapotelekezwa.
Shonza pole sana dada yangu, siku zote nilijua unapigwa mawe bila sababu kumbe leo nimegundua kichwani huna kitu
Tangu lini Diwani akawa mtendaji ? Diwani yeye kazi yake ni kusimamia maendeleo na kuwabana watendaji ? inaingia akilini kuwa Diwani anakusanya ushuru mpaka aghushi vitabu vya kukusanyia ushuru ?
Kabla uja post uchafu huu humu ungemuuliza aliyekupa habari , umesikia ujinga ukaongeza na ujinga kutuandikia mambo ya kipumbavu humu
Nadhani hauwafahamu viongozi wa Chadema, laiti kama ungeliwafahamu hata robo ya uhalisia wao usingelisema haya unayoyaongea leo hii. Mimi nafahamu uhalisia wa viongozi wa Chadema kwa asilimia zisizozidi 50% lakini nimeridhika kuwa watu hao ni wahuni., wababaishaji, watu wa hovyo ambao wamepotea njia na wanapoteza wengine. walafi, wapenda madaraka na wanafiki wakubwa wasiojali maslahi ya wengi bali hutanguliza maslahi yao binafsi na familia zao na koo zao.
si kweli Chama hakiwezi kuwa na Laana, labda walio ndani ya chama ndio wanaweza kuwa na Laana.
hata hivyo laana ya baadhi ya viongozi wa Ccm ni zaidi kuliko laana za viongozi wa vyama vingine
Kwa nini unamdhihaki Mungu kwa kumuandika kwa herufi ndogo?Nadhani hauwafahamu viongozi wa Chadema, laiti kama ungeliwafahamu hata robo ya uhalisia wao usingelisema haya unayoyaongea leo hii. Mimi nafahamu uhalisia wa viongozi wa Chadema kwa asilimia zisizozidi 50% lakini nimeridhika kuwa watu hao ni wahuni., wababaishaji, watu wa hovyo ambao wamepotea njia na wanapoteza wengine. walafi, wapenda madaraka na wanafiki wakubwa wasiojali maslahi ya wengi bali hutanguliza maslahi yao binafsi na familia zao na koo zao.
Kama si laana basi yanayotokea Chadema hivi sasa yasingelitokea, bali Mwenyezi mungu kwa Upendo wake kwa watanzania akaamua kuwaonyesha kwa picha halisi juu ya ukweli na taswira halisi ya Viongozi hao ambapo aliwafitinisha na wakavuana nguo hadharani na kila mmoja wetu akashuhudia utupu wao.
Ni mtu ambae ana ngozi ya kenge tu ambae ataendelea kuwaamini watu wa hovyo kiasi hiki, vijana wamepanua vidole mpaka mwisho na sasa vidole vimeanza kuvimba bila manufaa wala matumaini yeyote. Watu hawa hawawezi kutoa matumaini ya aina yeyote kwa vijana, wanawake na hata wasomi wa nchi hii. Iweje na inawezekana vipi watu ambao elimu imewapiga chenga wakawa na uelewa juu ya umuhimu wa Elimu na wasomi. Changa la macho.
Nadhani hauwafahamu viongozi wa Chadema, laiti kama ungeliwafahamu hata robo ya uhalisia wao usingelisema haya unayoyaongea leo hii. Mimi nafahamu uhalisia wa viongozi wa Chadema kwa asilimia zisizozidi 50% lakini nimeridhika kuwa watu hao ni wahuni., wababaishaji, watu wa hovyo ambao wamepotea njia na wanapoteza wengine. walafi, wapenda madaraka na wanafiki wakubwa wasiojali maslahi ya wengi bali hutanguliza maslahi yao binafsi na familia zao na koo zao.
Kama si laana basi yanayotokea Chadema hivi sasa yasingelitokea, bali Mwenyezi mungu kwa Upendo wake kwa watanzania akaamua kuwaonyesha kwa picha halisi juu ya ukweli na taswira halisi ya Viongozi hao ambapo aliwafitinisha na wakavuana nguo hadharani na kila mmoja wetu akashuhudia utupu wao.
Ni mtu ambae ana ngozi ya kenge tu ambae ataendelea kuwaamini watu wa hovyo kiasi hiki, vijana wamepanua vidole mpaka mwisho na sasa vidole vimeanza kuvimba bila manufaa wala matumaini yeyote. Watu hawa hawawezi kutoa matumaini ya aina yeyote kwa vijana, wanawake na hata wasomi wa nchi hii. Iweje na inawezekana vipi watu ambao elimu imewapiga chenga wakawa na uelewa juu ya umuhimu wa Elimu na wasomi. Changa la macho.
Shonza wakati unafukuzwa Chadema ulituhumiwa na kundi lako akiwemo Chagulani kuwa ninyi ndio wasaliti wa Chadema. Chagulani anajulikana kwa michezo yake michafu na Meya feki wa CCM anayejiita Chadema - Matata. Shonza mnafahamika mlivyoingizwa kwenye chama chetu (CCM ) mkaanza kutumika kuchafua Chadema mpaka sisi CCM tukachukiwa na wananchi, nyie na Mwigulu na Nape kila pahala eti na kwenye UVCCM kaanzishwa ka cheo ili Mwampamba ateuliwe, ujue tuliokuwa CCM tangu siku nyingi hatupendi unatujengea mazingira ya kuchukiwa kwa sababu ya post zako zisizo na adabu kila siku, unajihusisha na mambo binafsi ya watu hata kama sio ya kisiasa. Gazeti unalolitaja tunajua jinsi mnavyolitumia, vijipesa vyenu, mliandika sana mambo ya Ludo, mkaandika sana hadi kusingizia Mama wa Zitto katekwa na vijana wa Chadema, kesi iliripotiwa buguruni mkaandika na kubadili maelezo kila baada ya siku tatu, hadi leo hiyo kesi mmekaa kimya, hatuisikii, unahangaisha watu na kusababisha CCM ichukiwe. Chadema walikushindwa huku nako kuvumilia kwetu kunakaribia mwisho. Uwe na aibu mtoto, unatumika sana.
Sasa matusi ya nini jamani. Mbona mimi nimewapasha habari kistaarabu kabisa. Au mmeshaamka na viroba na mbege kama kawaida yenu.?
Wewe tangu dada yako afanye kazi ya bar unadhani kila mtu anafanya kazi bar.utapokuwa mstaarabu labda,, kama uwezi siasa nenda kafanye biashara ya bar itakufa zaida, utakuwa unapayuka ovyo ovyo kila mdaa, alafu cyo kila mtu ni mnywaji wa mbege na viroba, kuwa na heshima binti.
Bibie mrembo Shonza huoni kuwa taarifa yako hii is very contradictory?Ebu weka sawa hapo tuelewe kama mtuhumiwa ni mtendaji au diwani au ulimaanisha kwamba diwani ndiye mtendaji pia?
Umesema aka kabinti kanapigwaga mawe? Nilisikia na Mwigulu anakapigaga sasa sijui naye ni mawe au anakapiga niniShonza pole sana dada yangu, siku zote nilijua unapigwa mawe bila sababu kumbe leo nimegundua kichwani huna kitu
Tangu lini Diwani akawa mtendaji ? Diwani yeye kazi yake ni kusimamia maendeleo na kuwabana watendaji ? inaingia akilini kuwa Diwani anakusanya ushuru mpaka aghushi vitabu vya kukusanyia ushuru ?
Kabla uja post uchafu huu humu ungemuuliza aliyekupa habari , umesikia ujinga ukaongeza na ujinga kutuandikia mambo ya kipumbavu humu
Unamnanga mwenzako wewe hapa umemtia do..le joli shenzi ama!!!Sasa unatukana ili ikusaidie nini,au ndio zile akilinza kushikiwa?! mbafu wewe,tena mamayo kabisa.
Mkuu chadema walianza na shetani watamaliza na shetani kwa sasa wamefikia hatua ya kupigana matofari kwenye vikao baada ya wizi wao wanaoibiana pesa za ruzuku sasa wanatandikana.Nadhani hauwafahamu viongozi wa Chadema, laiti kama ungeliwafahamu hata robo ya uhalisia wao usingelisema haya unayoyaongea leo hii. Mimi nafahamu uhalisia wa viongozi wa Chadema kwa asilimia zisizozidi 50% lakini nimeridhika kuwa watu hao ni wahuni., wababaishaji, watu wa hovyo ambao wamepotea njia na wanapoteza wengine. walafi, wapenda madaraka na wanafiki wakubwa wasiojali maslahi ya wengi bali hutanguliza maslahi yao binafsi na familia zao na koo zao.