usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 329
Vipi katibu mkuu ccm hajapotea? Hujamsikia ya morogoroCHADEMA wamepoteana sana hadi huruma.
Huyu Afande mashallah..
Akiwa mkeo vp hapo?
Watasema tumewanunua.bavicha kwani huwajui?Warombo wameanza kujitambua. Mbowe na genge lake fyekelea mbali.