Huo mpira unakuwaje?wanapita kati ya ile nafasi za sliders, madirisha ya kise nge sana hayo,
ingia 'gharama' uweke ule mpira, la sivyo namba utaisoma
Nenda kwenye maduka yanayuoza vifaa vya madirisha hayo ununue mipira maalum ambayo hubandikwa pembeni ya fremu ya wavu, mimi bibafsi nimefanya hivyo japo si maduka yote wanauza mipira hiyo, nakushauri uende Gerezani Dar es Salaam.Habari ndugu zangu.
Mimi nina jambo dogo, madirisha ya alminium, yanayo-slide yana upenyo naona kwenye nyumba yangu yenye wavu wa mbu kwenye madirisha mbu wanapita! Hizi reli zinaacha nafasi!
Hivi tatizo hili wengine mnalo? Au mmelizuiaje? Au mnalikabilije? Nisaidieni jamani.
cheki post#12 hapoHuo mpira unakuwaje?
Asante nimeona.. na bei yake ikoje kwa mita?cheki post#12 hapo
Kama huna a c?Hilo tatizo hata mie linanikumba sana inabidi at least kila baada ya siku mbili kupuliza dawa. Kudhibiti hiyo hali lazima usifungue kabisa vioo jambo ambalo haliwezekani kwakweli. Hapo dawa mjitahidi ikifika saa 12 madirisha yafungwe then washa AC pakipoa unaizima ikikaribia muda wa kulala unawasha tena unaizima baada ya muda then mnakula fan tu.
Asante kwa ushauri. Nitatafuta hawa jamaa.Nenda kwenye maduka yanayuoza vifaa vya madirisha hayo ununue mipira maalum ambayo hubandikwa pembeni ya fremu ya wavu, mimi bibafsi nimefanya hivyo japo si maduka yote wanauza mipira hiyo, nakushauri uende Gerezani Dar es Salaam.
Mimi nilimunua zaidi ya mia kumi na saba iliyopita ila nadhani haizidi shilingi elfu mbili kwa mita.Asante nimeona.. na bei yake ikoje kwa mita?
Unaishi wapi ili nione namna kukusaidia kama itawezekana.Asante kwa ushauri. Nitatafuta hawa jamaa.
By default kuna rubber mafundi hawaweki, ila ipo rubber ya kuzuia hyo nafasi ilo mbu wasipite.Habari ndugu zangu.
Mimi nina jambo dogo, madirisha ya alminium, yanayo-slide yana upenyo naona kwenye nyumba yangu yenye wavu wa mbu kwenye madirisha mbu wanapita! Hizi reli zinaacha nafasi!
Hivi tatizo hili wengine mnalo? Au mmelizuiaje? Au mnalikabilije? Nisaidieni jamani.
Balaa mzee, hapo funga neti za kuzuia mbu tu then wakati wa kulala unajitandazia unapiga mbonji kama feni ni kitu unatumia then unawasha kwa burudaniK
Kama huna a c?
Mafundi ndio tatizoHili tatizo ni sugu mfundi wa siku hizi wanaviwango vya chini
Madirisha yanaingiza mbu na ukija upepo yanagongana
Mim swala la mbu nimekata magodoro madogo nikaweka maana kila nikirudi home nakuita mbu nikawa Sijui kumbe Madirisha