Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Subiri kidogo utasikia tunajenga reli toka Tunduru kwenda Dar
Hi nchi tajiri wa asili, ila hata mimi sijui kwa nini tunakuwa maskini
......Mkuu, hilo swali la kwanini tunakuwa maskini sio peke yako unayeshindwa kulijibu, hata JK mwenyewe alishawahi kuulizwa akasema hajui kwanini sisi ni maskini.Hi nchi tajiri wa asili, ila hata mimi sijui kwa nini tunakuwa maskini
Nchi ina utajiri wa asili na wananchi wake wana umaskini wa asilli!Hi nchi tajiri wa asili, ila hata mimi sijui kwa nini tunakuwa maskini
Tuna makorokocho kichwani
Hi nchi tajiri wa asili, ila hata mimi sijui kwa nini tunakuwa maskini
mpa mungu chochote ila ipo siku atatuulizaje tulitumiaje huu utajiriDah Tanzania bana..sijui tulimpa nini MUNGU akatupendelea hivi??