Jackson nyamhanga sambai
Senior Member
- Apr 25, 2018
- 101
- 48
Soko lake unalijuaHa ha ha! "Vyumaaaaaa"
Kuna sehemu huku kijijini niliyaona, kitambo kidogo.
Silijui soko lake, kwanza nilikuwa nayaona vijijini huko, mashambani. Sikuyafuatilia!Soko lake unalijua
Mnazingua mazee wakati yanaitwa amethyst yana sokoHayo hayana deal, njoo nikupe laki mkuu kwa yote
Kijiji gani ulikua ukiyaona Mie nikachukue chaap make yanauzwa kwa kilo nasikiaSilijui soko lake, kwanza nilikuwa nayaona vijijini huko, mashambani. Sikuyafuatilia!
Nyumbani kwenu wapiDuh hayo kule home ni kama utitiri.
Hata laki mbona hela nyingi,we unataka ununue kwa laki yoteHayo hayana deal, njoo nikupe laki mkuu kwa yote
Nyumbani kwenu wapi
Mmmh ni mkoa gani mkuu,na wilaya ganiNyamitwibhiri.
Nyamitwibhiri.
Mmmh ni mkoa gani mkuu,na wilaya gani
Wilaya ya Tanganyika.
Ahaaa mkoa Wa katavi sio
Ni wapi naeza kuyauza mkuu
unayo kiasi gani?Ni wapi naeza kuyauza mkuu