It is needed for the body'sdefensive (immune) system to properly work. It plays a role in cell division, cell growth, wound healing, and the breakdown of carbohydrates. Zinc is also needed for the senses of smell and taste na mengine mengi.
kuna issue moja hivi ya growth of body cells, ni pamoja na kuzalisha mbegu za kiume kwa wingi sana, ndio maana ukiwa na tatizo la nguvu za kiume unatakiwa kula vyakula vyenye zinc nyingi kama vile oysters na red meat ili kupata mbegu nyingi zenye afya. chakula chenye zinc nyingi kuliko vyote ni oyster (25) wakati red meat ni kama 5.2. angalia menu hii hapa, ila humo ndani chagua oyster na red meat ndio iwe priority.
View attachment 249009
kwa habari ya watoto, zinc inasaidia kukua, watoto wanahitaji sana zinc, mimba zinahitaji sana zinc for growth. pamoja na madini ya iodine, zinc pia inahitajika kutengeneza ubongo wa watoto ili uwe perfect na watoto wawe na akili wasiwe matahira...pia wawe na akili darasani.