Madini Ya Kopa Yanauzwa

Madini Ya Kopa Yanauzwa

1.yako wapi
2.copper hiyo ina % ngapi
3.copper hiyo ni kiasi gani(yaanI tani ngapi)
ungewatolea maelezo hayo......watu
ila jaribu kuwatafuta hawa jamaa wa lora intanational walikuwaga mikocheni kwa warioba walikuwa wananunua sana copper
 
wakuu hivi copper si ndio shaba au!? mleta tangazo weka picha
 
wakuu hivi copper si ndio shaba au!? mleta tangazo weka picha
naona wadau wamepotea na mzigo wao... kama kuna vitalu vya uchimbaji basi watushirikishe... na sie tupate hiyo fursa kama hawataki kutuuzia mzigo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom