Madini tunayo na watu tunao

Kwa "light skin" yao hiyo, usishangae hawajitii Waafrika hao...
 
Mbulu kwetu

huko sio mbuli, ni india mzee, hao ni wahindi. usitudanganye hapa. hivi huko mbulu walivyopigika na maisha hata hiyo hela ya kununua hizo nguo wangekuwa nayo? wanatakata tu wakija huku mjini ila ukiwa kule kwao aisee kabla hawajaoga hautawatamani.
 
Ila wanalandana sana na wairaqwi,wafyomi wagorowa,waasi(wambulu kiujumla)ni wazuri balaa nilikuwa babati hadi katesh ni wao tu sikupata ona wanawake wazuri km wao,hakika wamebarikiwa tena walivyo warahisi ndo kabisa walinikamata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…