Kwanini kwenye Masoko ya madini hakuna mabenki?

Kwanini kwenye Masoko ya madini hakuna mabenki?

yogan

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
138
Reaction score
92
Nchi yetu inawaacha nyuma watu wenye taaluma na kuongozwa na watu wenye uwezo mdogo.

Ninaona sana hapa soko la madini na hata masoko mengine mikoani watu wanabeba pesa kwenye mabegi nikawaza,

Kwanini hawakutengeneza mpango wa kuwepo mabenki sokoni?
 
Back
Top Bottom