Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Mimi si mfuatiliaji wa karibu sana wa muziki wa bolingo lakini huwaga kuna baadhi ya wanamuziki wa Kikongo (Franco, Tabu Ley, Madilu System, Nico, Kofi Olomide, etc) huwa nawazimia sana.
Mathalani kuna wimbo mmoja hivi anaimba Madilu System kuna mahali anatamka maneno "Yesu Kristo". Tafadhali kwa anayejua naomba anisaidie jina la wimbo huu na pia ikiwezekana lyrics zake. Huu wimbo napendaga sana midundo yake ambayo humwezesha mtu kucheza kwa kunesanesa!!
Natanguliza shukurani wakuu....