Tena wajenge hospitali zao waache kuomba msaada kwa kanisa
Kama viongozi wa ccm wanasema chadema ni chama cha wakristo basi ccm ni chama chama cha dini nyingine na pia wapagani.[/QUOTE]
Kingunge peke yake ndo mpagani wengine wote ni malqaida
Leo nikiwa kijiweni kwangu hapa Ng'ambo Tabora..mtaa wa Kiyungi-(Asante kwa Air Tanzania mana tunapata sasa magazeti ya leoleo).. Nimepitia Gazeti la Mawio,moja ya habari kubwa ni Mkutano wa Jukwaa la Wakristo chini ya U/kiti wa Askofu Ngalalekumtwa(TEC).
Askofu Kitula(CCT) na Askofu Batenzi(PCT) Kwamba ifikapo 1 Julai,kanisa liwatangazie waumini kuwa wao wamesitisha uhusiano na serikali,yaani kutowaalika viongozi wa serikali ktk shughuli za kanisa,na wao viongozi wa kanisa kutohudhuria pale wanapoalikwa na Serikali...
Viongozi hao wamesema Serikali imeshndwa kuchukua hatua kwa madai mengi,kama vile "baadhi ya wanasiasa wa chama tawala wamediriki kulieleza Bunge kwamba Chadema ni chama cha Wakristo".....pia kitendo cha Usalama wa Taifa kufanya njama na kumwambia Pengo kuwa mlipuko wa Arusha ni tukio la Kigaidi hata kabla ya uchunguzi...kwa utamu zaidi Gazeti la Mawio la leo.....
My Take: Je kitendo hiki ni suluhu kwa mustakabari wa Taifa?

Suala lao kutaka kujitenga na serikali siingilii lakini naomba niwape ushauri kwamba waache kuwa wanafiki nyakati za uchaguzi kuwaita viongozi wateule kuwa eti ni chaguo la Mungu. Kama ilivyokuwa katika kampeni za mwaka 2005 walipagawa na kumuita Kikwete kuwa eti ni chaguo la Mungu alipokuwa akinadi ile "Kasi Mpya, Ari Mpya na Nguvu Mpya" na ile Slogani maarufu ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" Leo kawatenga pembeni kisha amegeuka kuwa nani "Chaguo la Shetani??" Hapana vumilieni tu hadi amalize kipindi chake maana kama siyo nyie huenda hangekuwa Rais!!! Jipu likikupata dawa yake si kufunika bali ni kulitumbua tu.