barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,916
Leo nikiwa kijiweni kwangu hapa Ng'ambo Tabora..mtaa wa Kiyungi-(Asante kwa Air Tanzania mana tunapata sasa magazeti ya leoleo).. Nimepitia Gazeti la Mawio,moja ya habari kubwa ni Mkutano wa Jukwaa la Wakristo chini ya U/kiti wa Askofu Ngalalekumtwa(TEC).
Askofu Kitula(CCT) na Askofu Batenzi(PCT) Kwamba ifikapo 1 Julai,kanisa liwatangazie waumini kuwa wao wamesitisha uhusiano na serikali,yaani kutowaalika viongozi wa serikali ktk shughuli za kanisa,na wao viongozi wa kanisa kutohudhuria pale wanapoalikwa na Serikali...
Viongozi hao wamesema Serikali imeshndwa kuchukua hatua kwa madai mengi,kama vile "baadhi ya wanasiasa wa chama tawala wamediriki kulieleza Bunge kwamba Chadema ni chama cha Wakristo".....pia kitendo cha Usalama wa Taifa kufanya njama na kumwambia Pengo kuwa mlipuko wa Arusha ni tukio la Kigaidi hata kabla ya uchunguzi...kwa utamu zaidi Gazeti la Mawio la leo.....
My Take: Je kitendo hiki ni suluhu kwa mustakabari wa Taifa?