Kwahiyo madhara ni kupumua tu? Basi aendelee tu kujilia machakula yake maana wengine hawali hayo lakini wanapumua tu.Ninafahamu faida ni kuwa ni fibre kwahiyo ni kama brush kwenye utumbo lakini utapumua sana baada ya kula ninadhani umeshiona hiyo. Too much of anything is harmful.
Kushuta sio kiviile. Naulizia zaidi kuhusu madhara ya kiafya maana hizi ni processed food. Na wataalam wanasema vyakula vya makopo au kiwandani si vya kuendekezaNinafahamu faida ni kuwa ni fibre kwahiyo ni kama brush kwenye utumbo lakini utapumua sana baada ya kula ninadhani umeshiona hiyo. Too much of anything is harmful.
Jibu lipo wazi asee.....Kushuta sio kiviile. Naulizia zaidi kuhusu madhara ya kiafya maana hizi ni processed food. Na wataalam wanasema vyakula vya makopo au kiwandani si vya kuendekeza
Mimi ninamtazo mmoja tofauti sana , mtazamo wangu ni kula kila kitu kifaacho kula, lakini katika mfumo wa balance diet, fanya mazoezi kila siku, pata mapumziko ya kutosha, kunywa maji ya kutosha, weka ratiba ya kuchunguza afya yako angalau mara mbili kwa mwaka, ( sio lazima kuumwa ndo uende hospitali.)Kushuta sio kiviile. Naulizia zaidi kuhusu madhara ya kiafya maana hizi ni processed food. Na wataalam wanasema vyakula vya makopo au kiwandani si vya kuendekeza