Madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito

Habari ya wakati huu.

Ni yapi madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito mwenye typhoid na kwa mtoto aliyeko tumboni.?

Je, ni dawa ipi inafaa sana badala ya azythromycin.?

Dr. Ndiye aliye toa dozi hiyo
Macroride hazina effects kwa mjamzito dawa hizo zinainclude erythromycin, azithromycin na clarithromycin.
Hazina uwezo wa kupita across the placenta kua na amani bro
Cc Dr am 4 real PhD
 
Azithromycin ni safe kwa mama mjamzito na mtoto tumboni.

Ceftriaxone mara nyingi hupendekezwa zaidi kama chaguo la kwanza, lakini Azithromycin hutumika ikiwa kuna sababu za kitabibu.

All in all , azithromycin ni safe kwa mjamzito.
 
Hapa nilikua na tonses zimenikamata balaa,
Yaan makohozi mazito kichwa kinauma mpaka na masikio , kwenye koo maumivu nisiweze kumeza kitu nimekunywa azithromycin hapa kidonge kimoja na Panadol advance now nipo vizuri ndani ya saa moja na nusu now tonses zimeachia

min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI guru dumu la pombe nawa achia hii wiki mpaka nimalize dozii Haina namna nilikaza sana ila ndio ivyo nimeanza dozii hapa..

IMG-20250826-WA0000.jpg
 
View attachment 3453657
Hiyo hela ya wiki hii niekee nimalizie,,
 
Mtungi unakunywa freshi, haziinteract😂😄😄
 
ni jamii ya AZUMA?
 
ni jamii ya AZUMA?
Ndio mkuu, Azuma ni brand name , generic name ni azithromycin so Kuna brand za azithromycin zaid ya ishirinii na ushee
Ku mention few...

ZAHA
AZITO
AZIKO
AZITRA
ZITROCET
ALYZL
AZ_1
AZIBERG
AZIBIAL
AZICURE
AZILLIN
AZIJUB
AZINOWEL
MAZIT
ZADIWAYS
SKAZI
ZIMAX
ZENTHRO
AZIBRU
ZOLTRIM

ZIPO NYINGI SANAAAA
 
Hapa nilikua na tonses zimenikamata balaa,
Yaan makohozi mazito kichwa kinauma mpaka na masikio , kwenye koo maumivu nisiweze kumeza kitu nimekunywa azithromycin hapa kidonge kimoja na Panadol advance now nipo vizuri ndani ya saa moja na nusu now tonses zimeachia

min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI guru dumu la pombe nawa achia hii wiki mpaka nimalize dozii Haina namna nilikaza sana ila ndio ivyo nimeanza dozii hapa..

View attachment 3453657
Pole bwashee
 
Back
Top Bottom