Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,934
- 8,151
Habari ya wakati huu.
Ni yapi madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito mwenye typhoid na kwa mtoto aliyeko tumboni.?
Je, ni dawa ipi inafaa sana badala ya azythromycin.?
Dr. Ndiye aliye toa dozi hiyo