Madhara ya utoa mimba ni yapi?

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Siku zinavyokwenda,mabinti wanaongeza kasi ya kutoa mimba kwa visingizio mbalimbali!
Mwenye detailed maelezo juu ya madhara ya hii kitu aweke hapa.
 
Inaweza kusababisha:
1. Ugumba
2. Kama mwanamke huyo hajasafishwa vizuri anaweza kupata infections kwenye kizazi na hatimae kizazi kutolewa
3.Kupoteza damu nyingi hatimae kifo
4.Vifaa vinavyotumika kwenye hiyo process visipokuwa safi then anaweza kupata infections kwenye kizazi

Mengine watasaidia wanaJF wengine.....au ungekwenda kwenye jukwaa la JF doctors ungepata ambazo zipo well detailed.
 
1. HY Ni DHAMBI YA KUUA 2.~~ INAWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA 3. ~~KUKUPA HAMASA YA KUENDELEA KUFANYA NGONO ZEMBE (UZINZI) 4~~.....
 
Inaweza kusababisha:
1. Ugumba
2. Kama mwanamke huyo hajasafishwa vizuri anaweza kupata infections kwenye kizazi na hatimae kizazi kutolewa
3.Kupoteza damu nyingi hatimae kifo
4.Vifaa vinavyotumika kwenye hiyo process visipokuwa safi then anaweza kupata infections kwenye kizazi

Mengine watasaidia wanaJF wengine.....au ungekwenda kwenye jukwaa la JF doctors ungepata ambazo zipo well detailed.

Thanks...RESPECT
 
Sawa kabisa wakuu!Kuna watu wa ajabu kabisa kwenye hii dunia!Wanafurahia ku-du halafu hawatak matokeo!Pumbaf sana!
 
madhara makubwa
1. Kifo
2. Kifo
3. Kifo
4. Kifo
5. Kifo

mtu wangu wa karibu kabisa alitoa na kufa
akaacha watoto wawili, yaani wanatanga tanga tu.
Baba yao yuko kibazazi zaidi.
 
..kumbe unajua kusoma na kuandika vizuri tu?..sasa kuna kitu umekosa nacho ni elimu ya VITENDO,ko nakushauri peleka huyo binti ulomjaza tumbo akatolewe huyo kiumbe then sikilizia akiwa POA basi hakuna MADHARA,bt mambo yakiharibika utatupa kila kitu kilivyotokea mpaka mpenzio alipofikwa na MAUTI..bt kuna kitu nakiona hapa huyo binti hana mawazo ya kutoa mimba ko jitahidini huyo kiumbe akue vyema tumboni mwa ***** kwani ndo RAHA YA DUDU HIYO..
 
him kitu iruhusiwe tanzania kwani ingesaidia sans watt kutoa mamba kwenye hospital zenye utaalamu na tungeeepusha vifo
 
..kumbe unajua kusoma na kuandika vizuri tu?..sasa kuna kitu umekosa nacho ni elimu ya VITENDO,ko nakushauri peleka huyo binti ulomjaza tumbo akatolewe huyo kiumbe then sikilizia akiwa POA basi hakuna MADHARA,bt mambo yakiharibika utatupa kila kitu kilivyotokea mpaka mpenzio alipofikwa na MAUTI..bt kuna kitu nakiona hapa huyo binti hana mawazo ya kutoa mimba ko jitahidini huyo kiumbe akue vyema tumboni mwa ***** kwani ndo RAHA YA DUDU HIYO..
Unaumwa ugonjwa unao julikana kitaalam kama "UPAKI";yaani,"UPUNGUFU wa AKILI Kichwani".Hii inapelekea utumie dudu kufikiri!
 
kama jambo hili likifanywa mara kwa mara na huyo mwanamke, hulegeza mlango wa uzazi na kuutanua na kusababisha mimba kutoka kwa urahisi mara inapotungwa!! Mara nyingi wanawake wa namna hii wanapobeba mimba huwa zinatoka zenyewe tu
 
Siku zinavyokwenda,mabinti wanaongeza kasi ya kutoa mimba kwa visingizio mbalimbali!
Mwenye detailed maelezo juu ya madhara ya hii kitu aweke hapa.

Kwanza utakuwa umemkosea Mungu kwakuuwa kiumbe kisichokuwa na gatia afu ndo yafuatd madhara mengine ya uwezekano wakutokuja kuzaa tena pia ata kisaikolojia utaathirika kama kila ukimwona mtoto utakua ukifikiria wakwako angekuwa na ukubwa kama huyu, pia wakati unatoa unaweza kumwaga damu nyingi na kupoteza maisha
 
Back
Top Bottom