View attachment 375048
Ati chips ni chakula hatari na watumiaji wake wamo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo, Figo n.k. Wapika chips nao wana tabia ya kurudia kupikia mafuta yale yale tena na tena na hivyo kuongeza hatari zaidi. Tahadhari!
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.

Huyo anajifaragua tu. Eti asile mchele, viazi na vitu vingine atakula nini? Sumu za kwenye makopo kutoka Afrika Kusini kwenye masupamaketi uchwara? Na wangapi wanaweza kumudu hizo sumu za supamaketi? Anachekesha!