Ndugu makala!
1. Kwani hamteki wapinzani?
2. Hamuuwi wapinzani?
3. Hamuibi kura?
4. Hakuna kesi za kusingiziwa?
5. Hamuengui wapinzani isivyohaki?
6. WALIMU hawatumiki kuiba kura?
7. Watendaji je hawatumiki?
8. Polisi na Tiss je?
Ccm mnatukosea sana watanzania.
Mjibuni lissu kwa hoja .
Uchaguzi wa 2024 umethibitisha pasi shaka kile mtafanya 2025.
Lissu Yuko sahihi 100%