Watoto huathirika kisaikolojia,kihisia,huweza kuathiriwa pia uhusiano wao kiimani(kiroho). Kifupi talaka ni njia ngumu sana ya maisha kwa watoto na ndio sababu vitabu vya dini kama Bible inasema Mungu anachukia kuachana,lakini kwenye Quran pia inataja madhara mpaka mbingu na ardhi sinavyo taabika watu wakiachana.